Ndugu zetu wa Kagera kwanini mkoa wenu unaongoza kwa umasikini?

Wanakagera wanashida flani na hadi leo husingizia vita ya Kagera kuwa chanzo cha umaskini wao.
Ni mkoa upi huo ambao si masikini ambao wewe ni mwenyeji?? Mikoa zaidi ya 30 Kagera tu ndiyo masikini??
 
Mkuu akilinjema hamna mkoa ambao hamna wanafiki wala watu wasiopenda sifa wala hakuna mkoa ambao hauna umasikini kwa kiasi chake, Ninachokiona hapa ni brain turning tu, sina uhakika kama mkoa wa Kagera ni masikini kuliko mikoa yote Tz.
 
Sifa gani wanazopenda wahaya?? Mambo mengine ni brain turning tu kwa sababu tu ulishakariri, yawezekana huwa tunashindwa kutofautisha hulka na tabia.
Tabia zenu tunazijua, huweki ukapiga story na mhaya akaongelea issue za kijiji nyie ni Ulaya tu why?
 
Tabia zenu tunazijua, huweki ukapiga story na mhaya akaongelea issue za kijiji nyie ni Ulaya tu why?
Ndiyo maana nikakwambia ni brain turning mliyonayo, kwa hiyo mkuu kila ukikutana na mhaya from no where tu anaanza kukusimulia bara la ulaya??
 
Sina muda wa kubishana na watu wasiofanya tafiti..wanakopi vitu mitandaoni na kupost hapa..

Yeye hiyo list aliyoweka anaona kagera ni wa kwanza kwa umaskini...hata hizo data anazokopi hajui kuzisoma
Hizi data zimejaa majungu na bias tu na ukabila na ukanda hakuna lolote mara utasikia Mwanza ni mkoa masikini kuliko zote mara geita, sasa ni zamu ya kagera.
Nimetembea hii nchi karibu kila sehemu sijaona facts za kusema Kagera au Mwanza ni masikini huu utafiti huwa wanafanyia chooni au sijui wapi? Maeneo ya dhiki na njaa kubwa na ukame kama singida, manyara, ruvuma, dodoma, lindi, mtwara, kigoma, iringa na ata njombe hizi mikoa zinawekwa kwenye orodha
Ya mikoa tajiri huku mikoa karibu yote ya kanda ya ziwa ikiwekwa kwenye mikoa maskini hii nchi ni ya ajabu sana huu ukabila na ukanda unasababisha adi tafiti ziwe za kisenge sana.
 
Mkuu akilinjema hamna mkoa ambao hamna wanafiki wala watu wasiopenda sifa wala hakuna mkoa ambao hauna umasikini kwa kiasi chake, Ninachokiona hapa ni brain turning tu, sina uhakika kama mkoa wa Kagera ni masikini kuliko mikoa yote Tz.



Isipokuwa wiwango vinazidiana.

Na takwimu zinaonesha hivyo alivyoongelea Mleta mada.

Nyie mmepitwa hadi na mkoa wa Lindi fikiria ni namna gani mko na umaskini wa kutupwa?!

Yani mko katika namba 2-3 bora zinazoongeza kwa umaskini kimkoa.

Inashangaza sana!

Watu sasa wanawashangaa iweje na mashauzi na nyodo zenu halafu kumbe kwenu kuna umaskini wa kutupa ?!
 
Kuna jamaa Mhaya fulani anasemaga “magari makali ya thamani kubwa yaliyo mengi unayoyaona mjini (Dar) ni ya Wahaya [emoji108][emoji108][emoji108]

Sasa sijui ni kweli?! [emoji14][emoji14]

Au ni uongo?! [emoji14][emoji14]
 
Ndio maana nikakuomba unitajie wewe ni tajiri unayetokea mkoa gani??!! Maana Ninachokiona hapa ni mihemko tu kwani viashiria vya umasikini ni vipi mkuu tajiri???
 
Hivi huwa mnafanya utafiti kabla ya kuandika ama ni chuki juu ya mkoa huu,unakuta mbuzi hana exposure yoyote afu analeta utumbo wake hapa
 
Sasa kama nyinyi wenye nchi mnaona hamna maendeleo Sasa sisi wa huku pwani tusemeje wazaramo? [emoji35]

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Wazaramo na Dar es salaam na Pwani yao ndio wanaongoza kwa kuweza kumudu mahitaji ya msingi.

Wakiwa mjini ni mbwembwe huko vijijjni Kuna dhiki kubwa.
 
Ndio maana nikakuomba unitajie wewe ni tajiri unayetokea mkoa gani??!! Maana Ninachokiona hapa ni mihemko tu kwani viashiria vya umasikini ni vipi mkuu tajiri???



Kama bado hujaelewa basi naona nikuache tu ubaki ulivyo.
 
Umoja wa kimaendeleo na mshikamano ndio njia pekee ya kusukuma gurudumu la maendeleo, ubinafsi uchoyo uchawi na wivu huangamiza pema popote pale, hata huko uchagani ule Umoja umevunjika hasa ule wa kimaendeleo madhara yake kumesinyaa kumedumaa hakusongi tena matajiri wako kariakoo na maghorofa yao tactics za kunyanyua nyumbani kwao zimekufa furaha zimeondoka mioyo imewaingia sumu wako bize na misiba zaidi kuliko maendeleo, nawashauri watumie mapesa yao kuanzisha mashamba ya mazao ya thamani kubwa kuvibusti vyama vya ushirika kushawishi vijana kwa nguvu zote kufalitate kila aina ya pleasure over there with jobs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…