Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

Kwema Wakuu!

Tangu napata Akili nikiwa sekondari nasikia matukio ya kikatili yanayotokea huko Kwa Ndugu zetu wa Kanda ya ziwa, mpaka nafika chuo na sasa nimekuwa mtu mzima bado nasikia matukio ya kikatili huko kanda ya ziwa.

Haiwezi kuisha siku mbili bila kusikia matukio ya kikatili kutokea kanda ya ziwa, wakijitahidi Wiki.

Geita mara Kwa mara ndio hujitokeza, kuna haja ya Serikali na wasomi kufanya utafiti kujua hawa Ndugu zetu Wana matatizo gani,

Mfano wa matukio, ni Kama;
1. Watoto kuua wazazi wao Kwa visa vya kijinga jinga,
2. Vikongwe kuuawa Kwa sababu za kishirikina na Uchawi
3. Wazazi kuua watoto Kwa sababu za kustaajabisha, utasikia ati mama au Baba aua mtoto kisa Kula mboga,
4. Kuua Albino
5. Kuua kisa mapenzi, utasikia Mume aua mke na watoto kisa wivu wa mapenzi.

Yaani kuna matukio ya kikatili ambayo yanaitia aibu kanda ya ziwa, na kuwafanya watu wake waonekane wakatili.

Nadra Sana kusikia matukio hayo yakitukia kanda ya kusini yaani Lindi, mtwara, na Songea. Nadra Sana. Inaweza kupitia hata mwaka mzima usisikie kitu Kama hicho.

Watu wa kanda ya Ziwa niwasihi kuwa, mjitahidi msiendekeze mihemko hasa ya Hasira za kijinga jinga,

✓ Acheni Hasira za kijinga jinga
✓ Wapewe Elimu
✓ Msijione Duni, tabia ya kujiona Duni husababisha mtu kutenda mambo ya kikatili ili kujitutumua kuwa ananguvu. Mfano, mwanaume ambaye hajiamini, anayejiona Duni mbele ya Mke wake hutumia mbinu ya kumpiga mkewe kila mara kuonyesha kuwa yeye ni kidume. Hapo kwenye Kupiga ndio matokeo yake mauaji wakati mwingine hutokea. Yaani anatafuta kuheshimiwa Kwa nguvu.

Zingatia, mwanaume yeyote anayependa kupigapiga au kutumia nguvu ili aheshimike lazima atakuwa anajiona Duni, anaona anadharaulika, anaona anaonekana sio lolote. Hiyo ni Kwa mtu yeyote kutoka mahali popote.

✓ Acheni kujiona miungu watu,
Watu wa kanda ya ziwa hata Kwa tuliosoma nao wakiwa viranja shuleni boarding, wanatabia ya Kupenda kuabudiwa, kunyenyekewa, Wewe kuwa Baba au mume haimaanishi wewe ni Mungu kiasi kwamba kila usemalo linapaswa kufanywa hata Kama umekosea.

Mkikutana na watu waliokinyume na mtazamo wako ndio ugomvi unatokea, Mfano wapo wanawake ambao hawataki kupelekwa pelekwa hata Kwa vitu vya kipuuzi kisa tuu wewe ni Mwanaume/mume wake.
Mpeleke ikiwa ni Jambo sahihi sio umpeleke peleke hata kwenye upuuzi. Mfano, umechelewa Kurudi NYUMBANI alafu hutaki kuulizwa, au unatumia pesa Rafu alafu hutaki kuulizwa, tabia hii pia wanayo wanaume wa kichaga.

Migogoro mingi ndani ya Nyumba pia husababishwa na Baadhi ya Sisi wanaume kujigeuza miungu watu. Mwishowe Kwa wale vichwa maji huishia kupigana na Wake zao. Hali iñayopelekea matukio ya mauaji.

✓ Kanda ya ziwa wengi wao wanamapenzi ya dhati, yaani wanapenda kweli.
Acheni hii tabia ya Kupenda kupitiliza, wapendeni wazazi wenu, Hawa wanawake WA siku hizi msiwaendekeza Sana, msiwapende kivile.
Kupenda Sana wakati mwingine ni ushamba,
Unakuta Umeoa Msichana mzuri tena wanapenda weupe, anamhudumia Kwa Hali zote alafu mwisho WA siku anamsaliti, kutokana na Asili Yao kuwa na hasira na kutopenda kudharaulika huamua kufanya mauaji Kama Suluhu.

Kuweni Kama watu wa Pwani, wao unakuta mwanamke ameachwa hata mara Saba Kwa kupewa talaka, au unakuta Mwanamke anacheza kigoma au kigodoro akivua nguo lakini ni mke WA Mtu. Waswahili huchukulia mambo simple.

Usimpangie mtu Maisha ikiwa yeye mwenyewe kaamua kuishi vile atakavyo, wewe ukishindwa toa Talaka na sio umlazimishe mtoto wa watu kufuata mambo yako ambayo yeye hataki.

Ndio hayo mambo ya kujiona mungu mtu ndio maana unaingilia Uhuru wa mwingine, MUNGU mwenyewe aliyemuumba haingilii Uhuru wa watu sembuse Sisi.

Mtu Kama hataki kufuata sheria zako, achana Naye, mpe Talaka. Na Kama unataka kumpa kipigo😀😀 subiri ukiwa huna hasira ili umpe kipigo heavy Kwa akili, chukua fimbo umchape mpaka akili imkae Sawa. Hii ni Kama umeshindwa kuachana Naye.

Ujumbe huu sio tuu Kwa Watu wa kanda ya ziwa, nimewatumia wao kama kielelezo kutokana na kuwa vinara wa matukio ya kikatili hapa nchini, Ila ni ujumbe unaohusu watu wote pia wenye tabia za ukatili.
Zingatia, sio kila mtu kutoka kanda ya ziwa anatabia za ukatili Ila matukio yanayotokea huko ndio huwaharibia mpaka wale waliowema.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Na kanda maalumu ya kipolisi ipo huko huko
 
Robert,, unaitambua talaka kumbe!!
Kumbe dini ya uislam ipo sahihi?
Dini ya kiislamu inatambua talaka, LAKINI SABABU ZA TALAKA SIYO ISHU KWAO.. Wakristo wanatambua talaka kwenye kuuana na uzinzi.
 
Hata pwani kuna ushirikina ila ni nadra kusikia mauji ya ajabu ajabu pwani.
Mira zinatofautiana watu wa pwani Zanzibar, Tanga, Mtwala wanatumia nguvu za giza kuuwana kwaiyo kwenye kuuwana jamii zote zina uwani tofauti ni mbinu tu zinazo tumika, mtoa ungekuwa umeishi na jamii tofauti ungelijua mfano Ruvuma, Sumbawaga, Mafia mbinu zao zakumalizana ni tofauti na jamii ulizo zitaja
 
Ukatili kwa kiumbe chochote unatokana na ujinga.
 
Mbona nyie kanda ya pwani waongoza kwa ushoga

Natamani pia kuona andiko kuhusiana na Hili
Fala mkubwa mashoga makubwa tuanzie yataje uniambie yapi yanatokea pwani ukianza na maarufu uje na kaka wa carol ndosi
 
Mira zinatofautiana watu wa pwani Zanzibar, Tanga, Mtwala wanatumia nguvu za giza kuuwana kwaiyo kwenye kuuwana jamii zote zina uwani tofauti ni mbinu tu zinazo tumika, mtoa ungekuwa umeishi na jamii tofauti ungelijua mfano Ruvuma, Sumbawaga, Mafia mbinu zao zakumalizana ni tofauti na jamii ulizo zitaja
Mila sio Mira rudi darasani hujitambui
 
Fala mkubwa mashoga makubwa tuanzie yataje uniambie yapi yanatokea pwani ukianza na maarufu uje na kaka wa carol ndosi
we are talking about region not individuals alafu mimi sifahamiani na mashoga kama wewe unavyomfahamu huyo kaka yake carol ndosi

FACT:MIKOA/KANDA YA PWANI INA IDADI KUBWA YÀ MASHOGA NA WAFIRAJI
 
Nasikia wale wa kaskazini marekani wanauna sana kikatili wanaua watoto washule. Mpaka sasa au leo hii toka watoto walivyouwawa kule Texas,Uvalde sasa waliouwawa na kujeruhiwa ni kama 120! yaani wiki mbili tu!

Wazungu wa Kaskazini wakatili sana. Wanawashinda wa kwetu wa Kaskazini Tanzania.
Watu wa Kanda ya ziwa Mara,Mwanza, Kagera nk! siyo wakatili ivo, km mleta Mada alivo andika hapo juu!! Ukatili huu uko Duniani kooote!! ila Mauaji ya kanda ya Ziwa yanajulikana sana Duniani!

Sababu kubwa ni Ubora na umaarufu wa kanda hii ya ziwa! ......Mwandishi yeyote akiandika habari kuhusu walikotoka Wanajeshi machachari waliokuwa mstari wa mbele kukomboa Bara la Africa ....

na kuiweka Tanzania kwenye Ramani baada ya kumshinda mwanajeshi nguri aliye fundishwa ujeda na wakoloni yaani Nduri idd amin!, hii tu inawavutia watu wengi Duniani....kma haitoshi pia

viongozi Maarufu na machachari, walio unganisha Bara zima la Africa, kuanzia Zanzibar,EAC, wenye akili mingi, walioshindwa kupinduliwa Kirahisi Duniani, na Tanzania hii, na Africa kwa ujumla wake

km Nyerere, Msekwa, Hashim Mbita, Jiwe, Getrude Mongera nk! wanatoka huko! hii tu inatosha kuvuta usikivu wa Tamaduni, aina ya watu wenye asili ya kanda hii!!.....mwandishi yeyote anae andika haya

Lazima huyu wa kanda ya ziwa atauza sana habari hiyo! kuliko mwandishi anaye uza habari za Mikoa mizembe ya watu wa Lindi/Mtwarank! kwanza hazijulikani Duniani!......

Fikiria tu! mtu anatamani vita ya kulikomboa Bara la Africa! kwa moyo wote kabisa bila kusita!.......chachu ya Nchi zilizo Mstari wa Mbele ni watu wa Kanda hii! na walifanya kweli bila kusita sita

pia kwa sababu Ya ubora huo umevutia watu wengi/waandishi wa Habari wengi kukaa kanda hiyo!.. ili wauze habari kutoka kanda hii!

Popote humu Duniani penye Uchumi Bora wenye nguvu, akili mingi, watu shupavu penye mwelekeo wa mafanikio ya kasi. ndipo habari zake hujulikana sana, na pana ongoza kwa matendo ya kikatili Duniani!

Mfano USA, Israel, Uk, France Ujermani hawa mpaka waligawanywa pande mbili ajili ya ujeuri wao, S/A nk sasa Geece imewahi tawala Dunia kwani leo hii unaiskia???

Mtu Wa kanda ya ziwa popote alipo anamulikwa sana ajili ya Tabia zao za ukakamavu, kutopenda dharau na kupenda jeshi mnoo kuliko ugali, sehemu pekee Afirca ambapo Hakuna mtumwa aliye uzwa tokea hapa!

Zamani zile Misafara ya watumwa ilishambuliwa na wanawake tu na kuwakomboa watumwa wooote!! walipigwa km watoto!! wazungu wanalijua hilo! wamejaza vitabu kuhusu kanda hii kwenye Library zao!

ndo maana walipoanzisha KAR walichukua kanda hii sana, na pia mkoloni alitawala kanda hii kwa tahadhari kubwa mnoo!!.....hata alipo ibuka Nyerere Mkoloni hakuwa na upinzani kiviile km makabila mengine!!

sababu alijua Muziki wake km angeleta upinzani kwa Nyerere yule mwana kanda halisi, hata wale wazungu walio muunga mkono Kambona, walimpa tahadhari kubwa mnoo!

ivo ni sawa kanda ya ziwa kuiwazia ivo! ajili ya Ubora wake kwa rasili Mali, vivutio, akili mingi, na tabia zao za kuto taka ujinga kwa gharama yeyote ile tangu zama! na wake zao wa asili wana nidhamu isiyo ya kawaida!

wanawake wanao uawa kule siyo wa asili ya kule! bali ni wa kuja km vile Wachagga, wamakonde ,Wazaramo nk, sababu wao kwa asili yao kusaliti penzi ni kawaida yao! Mkanda ya ziwa hilo ni marufuku!

Lkn pia Utamu wa tabia/mwili/muonekano/uvumilivu/kujali/akili mingi za wanawake wa Kanda ya ziwa, umewafanya watu wengi sana Duniani wawapende,

pia watu wa aina mbalimabali kung'ang'ania kuishi kanda hii,, Mfano utamu wa wahaya wanaongoza kwa kuuza Nyapu EA,.....LKN akiolewa hauzi! Uongo mleta MADA???

jARIBU KUONJA MSIMBE SIKU MOJA UONE BARAKA NA UTAMU WAKE!...SI UJARIB TU ULETE MREJESHO BANA KM SIYO DOMO ZEGE......onyo ukienda kizembe kwa ke wa kanda hii lazima atakupiga makonde hutaamini!!!...............
 
we are talking about region not individuals alafu mimi sifahamiani na mashoga kama wewe unavyomfahamu huyo kaka yake carol ndosi

FACT:MIKOA/KANDA YA PWANI INA IDADI KUBWA YÀ MASHOGA NA WAFIRAJI
lkn hawaandikwi sababu siyo mashuhuri............ndo kweli kabisa! mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni
 
Kuna mtu anafanya kazi kule kanda maalumu hukohuko kanda ya ziwa, anasema wagonjwa wengi wanaopokea ni wale walikatwa na mapanga na sio magonjwa kama zilivyo hospitali nyingi.

Wao mtu kutembea na panga ni ufahali, full kupigana kwa mapanga kama kina jumong vile.

Nadhano ni matatizo ya akili ya kurithi.
ile ni kwa sababu utamuombaje ''nyaa'' mtu anapanga kiunoni bana?? unajitaka au!...fikiria tu utaanzaje kwanza!
 
Me nataka kujua kama kuna connection na sato
Yeees! ipo ndoo maana wana soko sana Ulaya, wazungu wanatamani kuwa km hao! yaani sasa wao watembee na Bastola kabisa humu africa!...na waache ushoga maana kule umewaelemea, hawajui wataachaje!

lkn DSM wanakula sana si unaona ushoga umepungua!!! hata km unaona mwanao wa kiume analegea makalio mpe sato mzima atafune mchemsho hasa kichwa lete mrejesho humu!!
 
Back
Top Bottom