Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia lugha chafu zenye kufedhehesha mkasaidie kukiimarisha chama hicho hatimaye kifikie katika ngazi stahili, tupo nyuma yenu kwa hali na mali, enendeni mkakitajirishe chama hicho, kwa mipango madhubuti, tusambazieni kadi, wekeni donation codes number, tupo tayari, tupo imara,
#ubwabwa unabeba slogan ya shibe! Kwa afya bora ya kila Mtanzania, ili aweze kuchapa kazi vizuri.

Kila la kheri, mtadhihkiwa sana lakini, kuhama chama ni suala la kawaida sana, Lowassa aliihama CCM, Sembuse nyie kuhama chadema iwe nongwa,
SONGENI MBELE!

FB_IMG_17476673464417713.jpg
 
Ndomu inatumika mara moja tu kwa tendo halafu inatupwa chooni haifai tena.
 
Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, enendeni chaumma, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia lugha chafu zenye kufedhehesha mkasaidie kukiimarisha chama hicho hatimaye kifikie katika ngazi stahili, tupo nyuma yenu kwa hali na mali, enendeni mkakitajirishe chama hicho, kwa mipango madhubuti, tusambazieni kadi, wekeni donation codes number, tupo tayari, tupo imara,
#ubwabwa unabeba slogan ya shibe! Kwa afya bora ya kila Mtanzania, ili aweze kuchapa kazi vizuri.
Kila la kheri, mtadhihkiwa sana lakini, kuhama chama ni suala la kawaida sana, lowassa aliihama CCM, Sembuse nyie kuhama chadema iwe nongwa,
SONGENI MBELE! View attachment 3339115
Wakaanzishe chama ambacho kila mtu atakuwa na sharubu
 
Kwa nini usingewakaribisha huko CCM?
 
Wakaanzishe chama ambacho kila mtu atakuwa na sharubu
Kila mtu Ana haki ya kuona afanye nini aidha aelekee wapi?, Tanzania hakuna mnyororo unaomfunga mtu dhidi ya maamuzi yake binafsi, maamuzi ya kila mtu, yana haki ya kuheshimiwa!, (lakini si yale ya haki za faragha ya yule Bwana wa ubelgiji)
 
Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, enendeni chaumma, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia lugha chafu zenye kufedhehesha mkasaidie kukiimarisha chama hicho hatimaye kifikie katika ngazi stahili, tupo nyuma yenu kwa hali na mali, enendeni mkakitajirishe chama hicho, kwa mipango madhubuti, tusambazieni kadi, wekeni donation codes number, tupo tayari, tupo imara,
#ubwabwa unabeba slogan ya shibe! Kwa afya bora ya kila Mtanzania, ili aweze kuchapa kazi vizuri.
Kila la kheri, mtadhihkiwa sana lakini, kuhama chama ni suala la kawaida sana, lowassa aliihama CCM, Sembuse nyie kuhama chadema iwe nongwa,
SONGENI MBELE! View attachment 3339115
Ndugu zenu wamefikia bei
 
Inategemea Kama Wana viti bungeni au wanaunda serikali ya umoja WA kitaifa au ikiwa watachukua fomu kugombea nafasi ya URAIS .
Chaumma ina diwani mmoja tu, chadema, haina hata diwani mmoja, ispokuwa ina mbunge mmoja anayemaliza muda wake, naye tunamkaribisha chaumma, feel at home!
 
CHAUMMA THE NEXT HOME, FEEL AT HOME, BE FREE, FEEL FREE JOINUPEARLYB4TIMEISOVER✔
 
Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia lugha chafu zenye kufedhehesha mkasaidie kukiimarisha chama hicho hatimaye kifikie katika ngazi stahili, tupo nyuma yenu kwa hali na mali, enendeni mkakitajirishe chama hicho, kwa mipango madhubuti, tusambazieni kadi, wekeni donation codes number, tupo tayari, tupo imara,
#ubwabwa unabeba slogan ya shibe! Kwa afya bora ya kila Mtanzania, ili aweze kuchapa kazi vizuri.

Kila la kheri, mtadhihkiwa sana lakini, kuhama chama ni suala la kawaida sana, Lowassa aliihama CCM, Sembuse nyie kuhama chadema iwe nongwa,
SONGENI MBELE!

View attachment 3339115
,🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom