Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

sasa mishahara ya viongozi inatoka wapi?
Mbowe aliijenga chadema kwa moyo wote, Uzalendo ndiyo unaotangulia kwanza mishahara huja baada ya kazi ya Ujenzi kukamilika, wengi wamedandia chadema kwa mbele hawajui msoto aliokula mwenyekiti wakati anajenga chama.
 
Kila mtu Ana haki ya kuona afanye nini aidha aelekee wapi?, Tanzania hakuna mnyororo unaomfunga mtu dhidi ya maamuzi yake binafsi, maamuzi ya kila mtu, yana haki ya kuheshimiwa!, (lakini si yale ya haki za faragha ya yule Bwana wa ubelgiji)
Unazungumzia haki za faragha zipi? Za wale vigogo wawili walioamua kuishi chumba kimojq Dodoma. Au ya shaka s. Shaka na mpelembwe ?
 
Mbowe aliijenga chadema kwa moyo wote, Uzalendo ndiyo unaotangulia kwanza mishahara huja baada ya kazi ya Ujenzi kukamilika, wengi wamedandia chadema kwa mbele hawajui msoto aliokula mwenyekiti wakati anajenga chama.
Acha kudanganya kiboya wewe!Nini kilimshinda Rungwe kukijenga CHAUMA muda wote hadi G55 wametokea ndiyo awe na pesa ghafla?
 
Mbowe aliijenga chadema kwa moyo wote, Uzalendo ndiyo unaotangulia kwanza mishahara huja baada ya kazi ya Ujenzi kukamilika, wengi wamedandia chadema kwa mbele hawajui msoto aliokula mwenyekiti wakati anajenga chama.
kumbe
 
Kwa muonekano ni kama watu waliofumaniwa au kushitakiwa kwa wizi wa kuku wakipelekwa mahakamani.
Yaani wamepoooa kama maziwa ya bibi kizee.
 
G55 ni wachumia tumbo tu hao...wanachohangaikia hapo ni madaraka tu..njaa mbaya sana
 
Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia lugha chafu zenye kufedhehesha mkasaidie kukiimarisha chama hicho hatimaye kifikie katika ngazi stahili, tupo nyuma yenu kwa hali na mali, enendeni mkakitajirishe chama hicho, kwa mipango madhubuti, tusambazieni kadi, wekeni donation codes number, tupo tayari, tupo imara,
#ubwabwa unabeba slogan ya shibe! Kwa afya bora ya kila Mtanzania, ili aweze kuchapa kazi vizuri.

Kila la kheri, mtadhihkiwa sana lakini, kuhama chama ni suala la kawaida sana, Lowassa aliihama CCM, Sembuse nyie kuhama chadema iwe nongwa,
SONGENI MBELE!

View attachment 3339115
Jamaa wa pembeni kulia aloyevaa gwanda la kijani anawaangalia kwa masikitiko sana.
 
AMA kweli mkataa pema pabaya panamwita! Yaani Mwalimu kweli ni wa kwenda CHA-UMMA? Hawawezi kuitikisa CHADEMA hata kidogo! Hadi aibu naona mie!
 
Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia lugha chafu zenye kufedhehesha mkasaidie kukiimarisha chama hicho hatimaye kifikie katika ngazi stahili, tupo nyuma yenu kwa hali na mali, enendeni mkakitajirishe chama hicho, kwa mipango madhubuti, tusambazieni kadi, wekeni donation codes number, tupo tayari, tupo imara,
#ubwabwa unabeba slogan ya shibe! Kwa afya bora ya kila Mtanzania, ili aweze kuchapa kazi vizuri.

Kila la kheri, mtadhihkiwa sana lakini, kuhama chama ni suala la kawaida sana, Lowassa aliihama CCM, Sembuse nyie kuhama chadema iwe nongwa,
SONGENI MBELE!

View attachment 3339115
Msilazimishe kuwa alikuwa mbunge wa Chadema.
 
Back
Top Bottom