Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Wakaanzishe chama ambacho kila mtu atakuwa na sharubuWapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, enendeni chaumma, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia lugha chafu zenye kufedhehesha mkasaidie kukiimarisha chama hicho hatimaye kifikie katika ngazi stahili, tupo nyuma yenu kwa hali na mali, enendeni mkakitajirishe chama hicho, kwa mipango madhubuti, tusambazieni kadi, wekeni donation codes number, tupo tayari, tupo imara,
#ubwabwa unabeba slogan ya shibe! Kwa afya bora ya kila Mtanzania, ili aweze kuchapa kazi vizuri.
Kila la kheri, mtadhihkiwa sana lakini, kuhama chama ni suala la kawaida sana, lowassa aliihama CCM, Sembuse nyie kuhama chadema iwe nongwa,
SONGENI MBELE! View attachment 3339115
Kwa nini usingewakaribisha huko CCM?Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, enendeni chaumma, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia lugha chafu zenye kufedhehesha mkasaidie kukiimarisha chama hicho hatimaye kifikie katika ngazi stahili, tupo nyuma yenu kwa hali na mali, enendeni mkakitajirishe chama hicho, kwa mipango madhubuti, tusambazieni kadi, wekeni donation codes number, tupo tayari, tupo imara,
#ubwabwa unabeba slogan ya shibe! Kwa afya bora ya kila Mtanzania, ili aweze kuchapa kazi vizuri.
Kila la kheri, mtadhihkiwa sana lakini, kuhama chama ni suala la kawaida sana, lowassa aliihama CCM, Sembuse nyie kuhama chadema iwe nongwa,
SONGENI MBELE! View attachment 3339115
Kila mtu Ana haki ya kuona afanye nini aidha aelekee wapi?, Tanzania hakuna mnyororo unaomfunga mtu dhidi ya maamuzi yake binafsi, maamuzi ya kila mtu, yana haki ya kuheshimiwa!, (lakini si yale ya haki za faragha ya yule Bwana wa ubelgiji)Wakaanzishe chama ambacho kila mtu atakuwa na sharubu
Hiyari yashinda Utumwa!Kwa nini usingewakaribisha huko CCM?
Thubutuuu!Mlivyo na roho mbaya ni aidha mngewapa sumu,kuwadhalilisha au kuwaloga.Hiyari yashinda Utumwa!
Inategemea Kama Wana viti bungeni au wanaunda serikali ya umoja WA kitaifa au ikiwa watachukua fomu kugombea nafasi ya URAIS .hv chaumma inapata ruzuku?
Hawapati hata senti mbovu.Pata picha.hv chaumma inapata ruzuku?
Ndugu zenu wamefikia beiWapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, enendeni chaumma, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia lugha chafu zenye kufedhehesha mkasaidie kukiimarisha chama hicho hatimaye kifikie katika ngazi stahili, tupo nyuma yenu kwa hali na mali, enendeni mkakitajirishe chama hicho, kwa mipango madhubuti, tusambazieni kadi, wekeni donation codes number, tupo tayari, tupo imara,
#ubwabwa unabeba slogan ya shibe! Kwa afya bora ya kila Mtanzania, ili aweze kuchapa kazi vizuri.
Kila la kheri, mtadhihkiwa sana lakini, kuhama chama ni suala la kawaida sana, lowassa aliihama CCM, Sembuse nyie kuhama chadema iwe nongwa,
SONGENI MBELE! View attachment 3339115
Chaumma ina diwani mmoja tu, chadema, haina hata diwani mmoja, ispokuwa ina mbunge mmoja anayemaliza muda wake, naye tunamkaribisha chaumma, feel at home!Inategemea Kama Wana viti bungeni au wanaunda serikali ya umoja WA kitaifa au ikiwa watachukua fomu kugombea nafasi ya URAIS .
,🤣🤣🤣🤣🤣Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia lugha chafu zenye kufedhehesha mkasaidie kukiimarisha chama hicho hatimaye kifikie katika ngazi stahili, tupo nyuma yenu kwa hali na mali, enendeni mkakitajirishe chama hicho, kwa mipango madhubuti, tusambazieni kadi, wekeni donation codes number, tupo tayari, tupo imara,
#ubwabwa unabeba slogan ya shibe! Kwa afya bora ya kila Mtanzania, ili aweze kuchapa kazi vizuri.
Kila la kheri, mtadhihkiwa sana lakini, kuhama chama ni suala la kawaida sana, Lowassa aliihama CCM, Sembuse nyie kuhama chadema iwe nongwa,
SONGENI MBELE!
View attachment 3339115
sasa mishahara ya viongozi inatoka wapi?Hawapati hata senti mbovu.Pata picha.
Wana mgahawa wa kuuza ubwabwa.sasa mishahara ya viongozi inatoka wapi?
mkuu nipo serious unajua.Wana mgahawa wa kuuza ubwabwa.