Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
InachanganyaWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewatahadharisha wanaochapisha taarifa wasizokuwa na uhakika nazo.
Kuanzia jumatatu, Februari 21, Ndugulile amesema wataanza kuwachezesha wote wanaotoa taarifa potofu na wanaofanya utapeli.
Amesema kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, usilike wala kukoment.
Aidha kuhusu matapeli wa mtandaoni, Ndugulile amesema wataanza uhakiki upya ili kudhibiti hilo.
Kwenye suala gani mbona hajafafanua.Hawa wanaolike ovyo ovyo,,dawa ni kuwafunga tu,,kwa ushauri wangu
Stupid kabisa. Msitutishe .Tutalike na tutacoment. Sasa naona mnataka kuingilia uhuru wetu hadi vya kulike jamani ?Kwanza wakati mwingine unaweza kulike bila hata kujua.
Umeambiwa kama kitu huna uhakika nacho,usipost,kukoment wala kulike...Kwenye suala gani mbona hajafafanua.
Ina maana ikitokea tetesi eti Kiba kamgegeda Mobeto uki Laik jela !!!!!
Hawa wanaolike ovyo ovyo,,dawa ni kuwafunga tu,,kwa ushauri wangu
Loh basi nimejikuta nime laik nasubiri defender au ile gari nyeupe.Umeambiwa kama kitu huna uhakika nacho,usipost,kukoment wala kulike...