Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

Stupid kabisa. Msitutishe .Tutalike na tutacoment. Sasa naona mnataka kuingilia uhuru wetu hadi vya kulike jamani ?Kwanza wakati mwingine unaweza kulike bila hata kujua.
Hivi wameshaongeza magereza au wanatuzengua? Ona sasa ushanitia matatizoni kwa kuquote post yako. Sijui kama nimeiLike litakuwa kosa jingine?
 
Wenzetu wanapiga hatua kila siku kwenye mawasiliano, sisi tuko busy kupambana na wanaotoa likes/comments kwenye taarifa

Sasa mimi nitajuaje kwamba taarifa niya kweli au uongo?, au unawauliza TCRA kwanza kabla yaku likes/comments
 
Inachanganya
Inachanganya mini tena? Yani ni hivi.... ukiona post Ray kagegeda mtoto wa Kajala afu ukacomment chochote iwe kupinga au kuunga mkono utakuwa umefanya kosa maana hujashuhudia Paula akimpanulia upaja Ray akachomeka kojoleo lake... Unatakiwa ucomment pale unapokuwa na uhakika tu...

BTW, D na babaake hawajambo? Waambie babu nawasalimu eti
 
Msiogope na hiyo mikwara.

Uwezo wa kufanya hicho anachosema wangeweza wangeshafanya siku nyingi.

Sio kazi ndogo kufuatilia mtu, mmoja mmoja
Sio kwamba haiwezekani, inawezekana ila usumbufu na gharama za kufuatilia kila mtu kwa habari za udaku ni wehu.

FBI wanatumia pesa nyingi, na wataalam konki kufuatilia mambo hatarishi ya kiusalama.

Sisi huku bado tunakusanya fedha za madawati af mtu anakwambia atakukamata uki like na ku comment, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hahaha nimekuelewa Aprin🙏
D na baba yake hawajambo kabisa hofu na mashaka ni kwako wewe na bibi
 
Kwa maana hii bado hujaelewa. Hapa ushafanya kosa kuniquote maana huna uhakika kama niko na bibi... kaa chonjo difenda linakuja...

Mefurahi kusikia hawajambo. Ila sijaona sehemu umesema kama umewafikishia salamu zangu...

Kwanini lakini mama D?
 
Hahaha Salam zimefika😅😅😅
Asante
 
Naona Kim ameihamishia Korea huku, ngoja uone kama hawatakataza watu kupiga chafya.
 
Loh basi nimejikuta nime laik nasubiri defender au ile gari nyeupe.
Niko huku maporini nalinda nyani wasile mazao nalaiki tyu, sijui watanitumia makomando na helicopter!?

Tanzania ya drama!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Watakutumia Unidentified Moving Objects (UMO)
 
Uhakika anaouzungumzia hapa ni UPI isije kuwa anaongelea uhakika wa Kijazi kufa kwa korona
 
Msiogope na hiyo mikwara.

Uwezo wa kufanya hicho anachosema wangeweza wangeshafanya siku nyingi.

Sio kazi ndogo kufuatilia mtu, mmoja mmoja
Sio kwamba haiwezekani, inawezekana ila usumbufu na gharama za kufuatilia kila mtu kwa habari za udaku ni wehu.

FBI wanatumia pesa nyingi, na wataalam konki kufuatilia mambo hatarishi ya kiusalama.

Sisi huku bado tunakusanya fedha za madawati af mtu anakwambia atakukamata uki like na ku comment, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kula like!

Halafu sina uhakika na taarifa za ulichopost kama ni za kweli au la. 😂 😅

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom