Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Karibu maganzo,,willy tulimmalizaga yule kiherehere,kwenye kisa cha HUJUMA"Willy Gamaba alipoingia ofisini alikuta bahasha imeandikwa jina moja tu,ELUNGATA."
Book review-NJAMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu maganzo,,willy tulimmalizaga yule kiherehere,kwenye kisa cha HUJUMA"Willy Gamaba alipoingia ofisini alikuta bahasha imeandikwa jina moja tu,ELUNGATA."
Book review-NJAMA
Wazee wa buku7 mtakufa Kwa njaa mwaka huu kuanzia tar 21 hakuna tena kupost hapa jamiiforumMbona sijamuelewa waziri.
Kucomment huwa ni positive au negative sasa kwanini unakataza?
Hilo tamko haliwahusu Lumumba usiwe kama mgeni bwashee!Wazee wa buku7 mtakufa Kwa njaa mwaka huu kuanzia tar 21 hakuna tena kupost hapa jamiiforum
Ha ha haaa, nimecheka.Samahani ku re tweet.Kwenye suala gani mbona hajafafanua.
Ina maana ikitokea tetesi eti Kiba kamgegeda Mobeto uki Laik jela !!!!!
U communist hauwezi kututoa mrisi [emoji107]@Hawa wanaolike ovyo ovyo,,dawa ni kuwafunga tu,,kwa ushauri wangu
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewatahadharisha wanaochapisha taarifa wasizokuwa na uhakika nazo.
Kuanzia jumatatu, Februari 21, Ndugulile amesema wataanza kuwachezesha wote wanaotoa taarifa potofu na wanaofanya utapeli.
Amesema kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, usilike wala kukoment.
Aidha kuhusu matapeli wa mtandaoni, Ndugulile amesema wataanza uhakiki upya ili kudhibiti hilo.
View attachment 1707876