Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

Niko huku maporini nalinda nyani wasile mazao nalaiki tyu, sijui watanitumia makomando na helicopter!?

Tanzania ya drama!

Everyday is Saturday............................... 😎
Utasakwa kila kona,magari yapo mengi ,hayana kazi,,helcopters pua zipo
 
Tanzania hata mtu awe na akili vipi. Akishateuliwa kuwa waziri, mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mbunge akili nazo zinayeyuka.
Mifano Ni mingi sana. Yupo huyu jamaa mwenye mabasi tangu ateuliwe akili kaacha mto Ruvu.
 
Hata za Happy Birthday mpaka umjue mtu hospitali aliyozaliwa ndio ulike na kukomenti[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sssa kama sina uhakika nisicomment kuuliza swali ili labda ndio nipate uhakika..., Hata hii sina uhakika nayo je kama nimecomment nikidhani ni ya uhakika kumbe sio yan uhakika kwanini niwajibishwe ?

Tatizo kubwa ni Taasisi zinazotakiwa kutoa habari ya kudhibitisha haziaminiki..., hence ndio kupelekea watu kutafuta habari kwenye njia nyingine..., Wakitaka kuondoa hayo wawe Transparent, Open na sio watu wa kuficha ficha...
 
Huyu jamaa ameteuliwa tu Bei za bando zimepaa mpaka zimepasua roof.

Atuambie Hawa wenye mitandao walipandisha tu au walikua na kibali Cha serikali?

Na Kama serikali ilikubali, Ni serikali gani inakubali wananchi wake wazidi kunyonywa na kampuni za MABEBERU?
 
Back
Top Bottom