Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hoja yako ina hoja.Serikali haina kazi za kufanya ndiyo maana inatumia muda mwingi kufanya upuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako ina hoja.Serikali haina kazi za kufanya ndiyo maana inatumia muda mwingi kufanya upuuzi
Nime like aje huku[emoji849]Stupid kabisa. Msitutishe .Tutalike na tutacoment. Sasa naona mnataka kuingilia uhuru wetu hadi vya kulike jamani ?Kwanza wakati mwingine unaweza kulike bila hata kujua.
Nafikiri wanachomaanisha hapa tujiandae kisaikolojia hata kusoma post itakuwa kosa la jinai.Kwamba tusilike Wala kucomment system yapi hii , kunapositive na negative comment
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisaNafikiri wanachomaanisha hapa tujiandae kisaikolojia hata kusoma post itakuwa kosa la jinai.
Everyday is Saturday............................... 😎
Mkuu hii ni personal attack kwako, ni hujuma!Hii nchi sasa..!! Napangiwa mpaka cha kulike!? Ngoja tutafute majina mapya
Utasakwa kila kona,magari yapo mengi ,hayana kazi,,helcopters pua zipoNiko huku maporini nalinda nyani wasile mazao nalaiki tyu, sijui watanitumia makomando na helicopter!?
Tanzania ya drama!
Everyday is Saturday............................... 😎
Hii ni ujuma kabisa tena hujuma kubwa sanaMkuu hii ni personal attack kwako, ni hujuma!
Everyday is Saturday............................... 😎
Ukikuta Lugola anazungusha kiuno usilike.Yaani tunapangiana hadi cha kulike?!