Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

Tuta-retweet wapi wakati haka ka-tweeter kamepigwa robaaa....au ni kwa sisi makabwera pekeee..
 
Msitutishe .Tutalike na tutacoment. Sasa naona mnataka kuingilia uhuru wetu hadi vya kulike jamani ?Kwanza wakati mwingine unaweza kulike bila hata kujua.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wale waliomuona Dr Ndugulile kama Mkombozi wa kutatua kero ambazo TCRA wameshindwa wanapaswa kuanza kufikiria upya .

Wakati suala la vifurushi vya mitandao limemshinda na ameufyata , kaja na mpango wa kuwakomesha zaidi watumia mitandao watao share au ku like habari ambazo yeye binafsi na waliomtuma hawapendezwi nazo, hili kwangu ni jambo jipya kabisa ! na bado sielewi lengo la serikali kwa kuleta unyama huu kwa raia wake.

Labda kama kuna mtu aliyeelewa tofauti na nilivyoelewa mimi aje afafanue , bali kinachofahamika ni kwamba mpango huu wa kikatiri dhidi ya Raia utashindwa vibaya sana , hii ni kwa sababu hakuna serikali yoyote duniani iliyowahi kufanikiwa kuwakamata na kuwafunga raia wake wote
 
Wanatulazimisha wote tupande gari bovu, tufuate kila wanachoongea huku tukishangilia hata kama ni upuuzi, hawataki kuhojiwa kwa matendo yao huku wakituaminisha tunapambana ni vita ya kiuchumi, kwa hili wameshindwa na wataendelea kushindwa, kama wanavyoshindwa kwenye suala la COVID na sasa wanaanza kuongelea barakoa.

Tujihadhari, vaa barakoa, kula vizuri, fanya mazoezi, jikinge na umkinge mwenzako hasa wazazi wetu ambao kidogo umri umesogea, corona ipo na inaua.
 
Kama wamesitisha utoaji wa leseni za online TVs & blogs wataweza eti kwa sababu zimekuwa nyingi sana mpaka wanashindwa kuzicontrol kweli wataweza kufuatilia kila tweet ya mtanzania

Halafu kwa nini wameshindwa kumkamata mtu mmoja tu Kigogo2914 kama wana uwezo wa kukamata
 
Tumeshakuwa North Korea, itafuata CCTV na camera kibao kupachikwa ktk kila mkutano, maandamano, hafla n.k kuona sura za hadhira za mtu mmoja mmoja kama je unafurahia hotuba, unapiga makofi, unagonga meza n.k na kama hatufanyi hivyo tutanyakuliwa haraka haraka kuwa ni wapinga juhudi, si wazalendo, tunachelewesha maendeleo, ni vibaraka hatari wa mabeberu n.k

Taratibu tunaelekea huko walikofika North Korea. Nchi ya kusifu, kushangilia, kulia machozi kwa Umoja na mfumo wa utawala usio na ukomo wa madaraka kwa wanasiasa.

Source : ABC news
 
Wale waliomuona Dr Ndugulile kama Mkombozi wa kutatua kero ambazo TCRA wameshindwa wanapaswa kuanza kufikiria upya .

Wakati suala la vifurushi vya mitandao limemshinda na ameufyata , kaja na mpango wa kuwakomesha zaidi watumia mitandao watao share au ku like habari ambazo yeye binafsi na waliomtuma hawapendezwi nazo, hili kwangu ni jambo jipya kabisa ! na bado sielewi lengo la serikali kwa kuleta unyama huu kwa raia wake.

Labda kama kuna mtu aliyeelewa tofauti na nilivyoelewa mimi aje afafanue , bali kinachofahamika ni kwamba mpango huu wa kikatiri dhidi ya Raia utashindwa vibaya sana , hii ni kwa sababu hakuna serikali yoyote duniani iliyowahi kufanikiwa kuwakamata na kuwafunga raia wake wote
Naunga mkono kudhibiti wazandiki wote walioko Twitter.
 
Mie ni mnyarubanja tokea Ngoni migration, tulikaa Misri utumwani sasa tuko Kanani nchi ya asali na maziwa!
Usiponielewa ujue umeelewa [emoji28] [emoji23]

Everyday is Saturday................................😎
Sawa sawa mzee Babushka.. umeeleweka
 
Wale waliomuona Dr Ndugulile kama Mkombozi wa kutatua kero ambazo TCRA wameshindwa wanapaswa kuanza kufikiria upya .

Wakati suala la vifurushi vya mitandao limemshinda na ameufyata , kaja na mpango wa kuwakomesha zaidi watumia mitandao watao share au ku like habari ambazo yeye binafsi na waliomtuma hawapendezwi nazo, hili kwangu ni jambo jipya kabisa ! na bado sielewi lengo la serikali kwa kuleta unyama huu kwa raia wake.

Labda kama kuna mtu aliyeelewa tofauti na nilivyoelewa mimi aje afafanue , bali kinachofahamika ni kwamba mpango huu wa kikatiri dhidi ya Raia utashindwa vibaya sana , hii ni kwa sababu hakuna serikali yoyote duniani iliyowahi kufanikiwa kuwakamata na kuwafunga raia wake wote
Lengo ni kusikika ama kusikia sauti wazipwndazo na sii zilewasizozipenda.
 
Back
Top Bottom