Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

"Mtu usifikiri unaweza kujificha kwenye mitandao hata kama utatumia jina sio la kwako tutakufikia tu, nitoe rai tuwe na matumizi sahihi sisi lengo letu sekta hii inakuwa na tija kwa watu lakini tutaendelea kuchukua hatua kwa wanaoenda kinyume"-
@DocFaustine

Kazi ipo!!!!!!!
 
Kwenda kinyume ni nini! Akisema Korona haipo nawe ukasema Korona ipo, tayari umekwenda kinyume hivyo unastahiri ukamatwe ukathibitishe kuwa ipo.
 
Leo taarifa za namna hii zilikua nyinhi sana😅😅😅😅😅

Tunapita kimya kimya tu
 
Ndugulile anachokifanya ni kumsukuma mlevi tu maana yeye ni Waziri kwenye nchi iliyo na wajinga wengi sana.
 
Kuna vitu vinachekesha jamani, Eti unazuiwa UsiLIKE wala kuComment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] what a joke!
Baada udhibiti kwenye uchaguzi kufanikiwa tutegemee mzigo mkubwa wa kuonewa washajua wanatuweza!
 
Badala ya KUPAMBANA na wezi wa mitandaoni.... Unapambana na wanaochati masjani🍼
 
Nikisema huna Akili utasema nimeenda Kinyume?
Kumbe unajua, hayo ni mawazo yako inabidi unithibitishie. Mara zote serikali zenye usiri zinapoona kuna jambo ambalo ni nyeti na hawawezi kulitolea ufafanuzi huja na kinga ya kujihami dhidi ya wananchi wanaohoji, nayo ni hiyo ya mheshimiwa.
Kauli ya mheshimiwa ni pana sana inawahalalishia kuwakamata wananchi wasio na hatia kwani inahusu tofauti ya mawazo.
 
Nawatakieni usiku mwema wanajf wote huku nikiwakumbusha kujiepusha na usambazaji wa taarifa kutoka vyanzo visivyo rasmi kuanzia sasa

Mtanzania ipende nchi yako,wapende viongozi wako waombeeni na wasameheni pale mnapohisi wamewakosea kwani kwa kufanya hivyo mtaifanya nchi yetu kuwa nchi ya mfano

Jiepusheni na ushabiki maandazi pale binadamu wenzenu wanapopendwa zaidi na Mungu kwani WAFU HAWAJUI CHOCHOTE hivyo kushangilia kifo cha binadamu mwenzako ni IBADA YA SANAMU
 
Msumeno wako kukata upande mmoja tu?

Wananchi kuwasamehe viongozi wao wanapohisi wamekosea.

Wao kuwasamehe wananchi wao wanapohisi wamekosea je?

Vipi hata kuwasikiliza tu wananchi na magumu wanayowasababishia?

Au yale yale ya manyani kutoona ma nanihii yao?
 
Wajuaji wamekusikia sasa ngoja waugeuze mwezi upande wa pili itakuwa zamu yake kukubali ukweli au kukata ukweli atakapo letewa kitu live bila chenga. Nihatari sana tuombe Mungu
 
Back
Top Bottom