Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

Sasa wakomentiji tutajuaje kama habari ni ya kweli, na ili uwe na uhakika habari ni kweli ni mpaka uwe shuhuda, na ukweli usiopingika ni Mungu tu anayeweza kuwapo kila mahali kwa wakati mmoja(omnipresent).

Bila kuzungukazunguka muheshimiwa minister anataka tupost vyakula tunavyokula na nguo tulizovaa baaasi!
 
Sasa uhakika wa habari ambayo sikupashwa kabla nitautoa wapi zaidi ya kwenye hicho chanzo kinachonipasha hiyo habari husika? Tunawekana ktk wakati mgumu mno aisee
 
Nilijua hii ndio sababu ya kuanzisha kwa wizara hii
Baada ya Jiwe kutumia wizara ya habari kuua na kukandamiza Uhuru wa magazeti,radio na tv ilikuwa ni muda tuu ataunda wizara ya kudhibiti mitandao ya kijamii
After all alishasema anatamani mitandao hii isiwepo
 
Aanze na hizi namba hapa huyu taperi anasumbua sana 0734 731 427 na 0712 827372 jina LEZIA SHILUMBA na 0734 696 335 0689 881132 JAKILINA NAMBEYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ