Ndumbaro anapata wapi ujasiri wa kusafiri na timu ya watu 7 tu Olympic Ufaransa timu anayojua itakayorudi bila medali!?

Huyo waziri kenda fanya nini Paris kama hahusiki?
 
Taifa hili limejaa unafiki sana, zile pesa zilizokuwa zinatapanywa mara goli la mama, mara kupeleka wasanii 40 kutembea Korea jee zingeingizwa kamati ya Olympic tungeandaa na kupeka washindani wangapi Paris?
Jee wanajua nchi kama Kenya michezo ya Olympics imekuza jina lao kwa kiasi gani?
Hii ni Aibu ambayo waziri wa michezo inastahili imuondoe ofisini, katibu mkuu yule chawa wa kusifiasifia Msigwa naye achape mwendo.
 
Wamezoea, penye mafanikio wanahusika. Penye hamna mafanikio, siyo wao ni wale wengine
 
Wewe mshenzi unadhani kupata viwango vya olimpiki ni kazi ya siku moja? Ndumbaro ana miaka mingapi pale wizarani?
Wewe mwerevu unaona ni sahihi yeye kutembea km mshereheshaji na kupoteza Kodi za wananchi?
Uko kichwani una akili au tope kwasababu ana muda mchache Wizarani ndio iwe kigezo cha kusafiri na wanamichezo 7 tena wengine wamejipambania wenyewe kufika izo level?acha UCHAWA tumia akili mwehu wewe
 
Kwani tatizo ni nini si kaenda kuwapa nguvu?mbona nchi moja majirani kusini mwa nchi yetu kuna wanamichezo 9 na viongozi 67 hamseni.ccm mbele kwa mbele.
Hizo nguvu anawapaje anawanywesha energy!?
 
Yaani umeleta hoja dhaifu sana mkuu hebu kakae ufikiri vizuri sio kuja na kihoja cha hivi.

Hivyo vyama vya michezo ulivyovitaja vinaongozwa na nani!? Na kama yeye hahusiki kuandaa hao wanamichezo kaenda kufanya nini?
Na kama wanamichezo wetu hawakidhi kushiriki kwa nini asitumie nguvu kubwa sana kuwafanya wengi sana wakidhi vigezo vya kushiriki!?

Kama umetumwa kumtetea waziri mtetee kwa hoja zingine sio hiki kihoja
 
Olimpiki hawaendi kama vile wanaenda ngomani Mkuranga. Kuna viwango vya kufikia. Cha muhimu na wewe kama una hamu na olimpiki kata tiketi yako nenda kashuhudie LIVE pale Paris badala ya kulilia watu mtandaoni kwa umaskini wako.
 
Bora ya huyo Ndumbaro kule Zimbabwe wametoa wachezaji 9 na viongozi wameenda 67
 
Ndumba zinatosha kabisa kumpa mtu ujasiri.
Ndumba zinatosha kabisa kumpa mtu ujasiri.
 
Olimpiki hawaendi kama vile wanaenda ngomani Mkuranga. Kuna viwango vya kufikia. Cha muhimu na wewe kama una hamu na olimpiki kata tiketi yako nenda kashuhudie LIVE pale Paris badala ya kulilia watu mtandaoni kwa umaskini wako.
Nyie ndio mnaharibu hata sifa ya huyo mnaye tumia jina lake maana anafikiriwa kuwa yuko kama nyie
 
Kamuulize mamako atakujibu.
Uchawa wa bila kufikiri kizalendo ndo kama huu kama umerogwa fulani hivi!! Nadhani hata ndumbaro mwenyewe akikusoma anakuona ni bonge la boya¡! Maana hata yeye anajua kilichompeleka kula ni kula kwa urefu wa kamba yake au wa ni mchepuko wake!?
 

Kwani hakuna per diem ya maana hapo?
 
Hahusiki vipi wakati ni wizara yake?
Kweli ndugu watanzania wamefika pabaya yaani mijadala ya kijingajinga wanaikomalia kweli ila mambo ya msingi nchi inaliwa majitu yanatetea tu. Eti waziri hahusiki kama hahusiki kaenda kufanya nini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…