Uchaguzi 2020 NEC: Hatutaruhusu mtu kukaa mita 100 kusubiri matokeo ya uchaguzi

Mkuu nimecheka Sana kwamba tarehe 28 tunatoka tumekula chakula Cha siku tatu,maana hakuna Rudi nyumbani,mwaka huu kazi sio ndogo ni pevu kweli
Wacha waandamane tuu 4 7mbatizaji sisi kazi yetu ni ya tarehe 28 Oct, baada ya hapo tutaemdelea kua hapahapa jamiiforums tukipongezana na kupeana pole
 
Vyovyote vi
Huu siyo mtihani bana ni kuchagua vingozi kwaajili ya maisha yetu
 
Wacha waandamane tuu 4 7mbatizaji sisi kazi yetu ni ya tarehe 28 Oct, baada ya hapo tutaemdelea kua hapahapa jamiiforums tukipongezana na kupeana ppo

Wacha waandamane tuu 4 7mbatizaji sisi kazi yetu ni ya tarehe 28 Oct, baada ya hapo tutaemdelea kua hapahapa jamiiforums tukipongezana na kupeana pole
Mimi nasema haki ,haki ,haki lazima ifuate mkondo wake ,hatutaki ubabaishaji wa kutuletea vurugu,na sioni ubaya wowote kwa chadema,ccm au chama chochote kulinda kura,ubaya ni vurugu na tume Kama itafanya Kila kitu kwa mjibu wa kanuni zao ,naamini hakuna fujo yoyote yaweza tokea, tatizo pale wakiamua kufanya kilichotofauti ,matatizo yaweza anzia hapo,tulipo fika Kila mtu ababe mzigo wake,nchi Kwanza ,pinda pinda kwa tume waache Mara moja haiwezi tupeleka sehem salama
 
Umesema sawasawa mkuu, ndio maana tume wameruhusu kila chama kuweka mawakala wake ili kulinda kura na kuondokana na fujo
Hii ya kusema kila mtu anayepiga kura abaki nje ya kituo cha kura akilinda kura ndio fujo itakapoanzia. Hadi najiuliza kwanini vyama pinzani havina imani na mawakala wao? Au wamedhamiria tuu kufanya fujo?
 
Mkuu kitakacho leta fujo Wala sio kukaa mita Mia ,kitakacholeta fujo ni wasimami kwa kutotii kanuni na sheria za uchaguzi,na kubwa zaidi kushindwa mtangaza mshindi halali fuul stop,ila mfano kura zimepigwa zimeesabiwa kwa uwazi,hakuna figisu za mawakala kuanzia kuhapishwa,kutozuiliwa kuingia vituon, fujo itatoka wapi ,Kuna kushindwa na kushinda Kama ni kwa njia halali shida ipo wapi?
 
Sawa key board warrior
 
hiyo ni siku ya kupiga kura tukio muhimu sana kwa miaka mi5
 
Habar Mnama,kwa mazingira yetu ukisema uhesabu hizo mita mia unajikuta upo kwenye makaz ya watu kiusalama sidhan km Kuna mtu atakayekubal aone kund la watu lipo pembezon mwa nyumba yake kwa kigezo cha kulinda kura.
 
Nec wanapnyesha dalili mbaya na hatarishi kwa afya ya uchaguzi huu
 
Ni kweli mita 100 hairuhusiwi sisi tutakaa mita 200 iliyopo kisheria. Mbona wanaweweseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…