Uchaguzi 2020 NEC: Hatutaruhusu mtu kukaa mita 100 kusubiri matokeo ya uchaguzi

Kama kuna Mdau kama Mimi anaamini mita 200 basi usisahau kubeba mkate na maji lita tano hivyo ni vitendea Kazi muhimu sana, kule Kenya wanaendaga kupiga kura wanabeba na kande! Halafu mtu anachukulia utani! Eti turudi nyumbani, kwangu mmenoa @ John Mallya jiandae kuja kuniwekea dhamana Mimi Francis John Njewike mpiga kura kituo cha uhasibu kurasini.Maana kuficha majina nayo ni udhaifu mataga muende TIA nipo ninapiga kura na kulinda kura yangu.
 
Uchaguzi uliopita ulikuepo?
Kama ulikuepo uliambiwa ufanyaje baada ya kupiga kura?
Huu ni mwaka 2020, una deal na Watanzania wanaotaka kumuondoa dikteta muuaji. Hawatagopa hivyo vitisho.

Hakuna mtu anaogopa kufa kwa vile wote mwishowe tutakufa. Isitoshe kuwa hai kwenye utawala wa Magu sawa na kuwa mfu tu. Maisha hayana raha
 
Hahahha.... Unafikiri kuna kitu watakufanya basi!

Watakugonga tu hako kamguu na kamkono kisha utaenda kulazwa pale muhimbili kwa wiki kadhaa ndio utatia adabu.
 
Mkipigwa virungu, msimwitwe yule wakili Amsterdam
 
kwangu mmenoa @ John Mallya jiandae kuja kuniwekea dhamana Mimi Francis John Njewike mpiga kura kituo cha uhasibu kurasini.Maana kuficha majina nayo ni udhaifu mataga muende TIA nipo ninapiga kura na kulinda kura yangu.
unaomba wa kukuwekea dhamana unajuaje kama utakuwa hai na kuwahi kufikishwa kituo cha polisi ukiwa hai?

Hapo TIA si mnatazamana tu na kambi ya JWTZ? UNAYEMTISHIA NYAU NANI HASA?
 
Toni kituochenu kipoumbali wa 80m na nyumba yangu,na mimi ninagrocerywatu wana pata kilaji nasfungi
 
Wapuuzi kweli, yaani kama hakuna namna ya kuiba kura hata ukiwakaribisha wanananchi wote ndani ya kituo kuhesabu kura kwa uwazi kunashida ganii?? Hivi visheria vya ovyo ovyo vinatengeneza mianya ya wizi, na Lissu kawakumbusha watu namna ya kudeal na vibaka..
 
Hivi wanawekaga alama ya hizo mita 200? Je, ni nusu kipenyo? Hivi zimepungua, kwani Tulia alipoteteaga ilikuwa mita 200.
 
unaomba wa kukuwekea dhamana unajuaje kama utakuwa hai na kuwahi kufikishwa kituo cha polisi ukiwa hai?

Hapo TIA si mnatazamana tu na kambi ya JWTZ? UNAYEMTISHIA NYAU NANI HASA?
Na hiyo mita 100 ukiihesabu unaipata ndan ya kambi ya jw sijui tunamsaidiaje huyu komred
 
Ni kina nani hao unaowaongelea kuwa mtakaa nje ya kituo?
 
Huu ni mwaka 2020, una deal na Watanzania wanaotaka kumuongoza sisters muuaji. Hawataigopa hivyo vitisho.

Hakuna mtu anaogopa kufa kwa vile wote mwishowe tutakufa. Isitoshe kuwa hai kwenye utawala wa Magu sawa na kuwa mfu tu. Maisha hayana raha
Kwa hiyo wewe ni mfu😎😎😎
Riep Huihui2
 
Kura zetu eti tusiwe HURU wa kuzilinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…