Hicho kiwanja utakachokaa ni cha baba yako au mama yako? ni eneo lenu mnamiliki mna hati miliki yake?
Eti haki yako? Haki yako kwenda kukaa eneo la mtu lisilo la baba yako wala mama yako
Mita 100 Maana yake ni kwenye maeneo ya watu
Vinginevyo huo ni uvamizi wa viwanja au maeneo ya watu .Wamiliki mkiwaona pigeni simu poolisi zije defender na mabomu wawaopndoe watu waliovamia maeneo yenu na kuyakalia kwa mabavu
Kukaa eneo la mtu kunahitaji vibali viwili cha kwanza cha mwenye eneo cha pili kibali cha kukusanyika kutoka polisi vinginevyo huo unakuwa mkusanyiko usio halali kwa kufanya uvamizi na pili kukusanyika bila kibali