Hapana, warudishwe wote! Hii ya kuchuja nani wamkate na nani wamrudishe HAPANA! Kwa Majaliwa hajarudishwa, kwa Mnyeti hajarudishwa, kwingine wamerudishwa, hapana, haki itendekekhajarudishwa.Hakuna namna ni vyama kunadi sera tu. Nauona ugumu ya chama chochote kubebwa. Huu uchaguzi unakuwa mgumu tofauti na miaka ya nyuma na kama tulivyotarajia. NEC hawana namna zaidi ya kutenda haki. Nawashauri kuwaweka sawa wasimamizi majimboni kuepuka ghalama za kurudi uchaguzi pale rufaa zitakapokatwa kupinga matokeo. Hali sio kabisa nadhani kuna shinikizo kali kutaka haki itendeke kule Control room. Kwa hali ya kawaida waliokatwa ilikuwa imetoka kuwarejesha lazima tujiulize kulikoni.