Uchaguzi 2020 NEC imekubali rufaa nyingine 13 na kurejesha wagombea, rufaa nyingine 14 za walioteuliwa zimekataliwa

Uchaguzi 2020 NEC imekubali rufaa nyingine 13 na kurejesha wagombea, rufaa nyingine 14 za walioteuliwa zimekataliwa

Huyu atleast ana guts za kutengua walichoamua maDED. Zamani kidogo ilikuwa ndoto. DED akishapiga spanner, NEC huko juu walikuwa wanabariki tu. Mwaka huu kuna changes kidogo...angalau mpaka sasa
Zamani zipi hizo wakati huu ujinga umekuzwa awamu hii? wacha kufichia watu ujinga wao.
 
Tume sio wa pumbavu bali mnaosema warudishqe wote ndo wapumbavu. Hebu sikieni, kwa maana hiyo hakukuwa na maana ya kuweka vigezo basi kama kila mtu anaweza kugombea, hao mnaosema warudishwe wameshindwa kukidhi vigezo vilivyowekwa. Hivo hawana sifa za kuwa wagombea full stop
Ila wanaccm wooooote ndiyo pekee wamekamilisha kila kigezo! Mpumbavu mmoja
 
Tume rudisheni wagombea wote bila masharti hatukubali tudisheni hatutaki ushindi wa mezani tunataka warudishwe luangwa mtama morogoro mjini morogoro vijijini mlimba kibamba ubungo na kote
 
Watawarudisha tu, iweje wasiyo jua kusoma wa ccm wajaze vizuri ma wale wasomi washindwe kujaza?
Labda wanajaziwa.

Truth be told, kuna baadhi ya wapinzani wamefanya makosa ya kipuuzi sana. Kwa makusudi? We might never know.

Unaanzaje “kusahau” kupiga sahihi? Tarehe ya kuzaliwa unaweka 8 Sept 2020 kweli?CCM/DEDs/NEC wanatumia udhaifu huu kuwanyoosha
 
Ilemela pingamizi liliamuliwa na mkurugenzi na mgombea wa chadema kurudishwa, Ina maana huyu mama naibu waziri anjelina mabula aliweka pingamizi lingine kimyakimya!
 
Itakuwa wa chama kingine mkuu vyama vipo vingi, ukisikia jimbo fulani amerudishwa au amekataliwa usifikiri ni CHADEMA tu, waza labda ni rufaa ya ACT, NCCR nk
Ilemela pingamizi liliamuliwa na mkurugenzi na mgombea wa chadema kurudishwa, Ina maana huyu mama naibu waziri anjelina mabula aliweka pingamizi lingine kimyakimya!
 
Hii tume imejaa wapumbavu na wachimvi akiwemo mwenyekiti wao.

Huwezi ukakaa na rufaa za wagombea siku 10 na kampeni zinaendelea kwenye majimbo husika...
Wanazipitia na kuzitolea maamuzi baada ya kukaa nao na kupewa maelekezo
 
Labda wanajaziwa.

Truth be told, kuna baadhi ya wapinzani wamefanya makosa ya kipuuzi sana. Kwa makusudi? We might never know.

Unaanzaje “kusahau” kupiga sahihi? Tarehe ya kuzaliwa unaweka 8 Sept 2020 kweli?CCM/DEDs/NEC wanatumia udhaifu huu kuwanyoosha

..mgombea ubunge wa ccm jimbo la mwanga alisahau kuweka sahihi ktk kiapo chake.

..huyo bwana ni mwanasheria mzoefu hapa Dsm.

..Tume imepitisha kugombea.

..makosa madogo-madogo, ambayo wewe umeyaita ya kipuuzi, hayakutakiwa yatumike kuwakosesha watu fursa za kugombea.
 
..mgombea ubunge wa ccm jimbo la mwanga alisahau kuweka sahihi ktk kiapo chake..Tume imepitisha kugombea.
Kuna yeyote aliyemuwekea pingamizi huyu, DED akapeta na watu wakakata rufaa ila NEC wakatupilia rufaa yao?
 
Tume siyo kipomo cha uzuri wa mgombea, wao ni wasimamizi wa uchaguzi siyo wasimamizi wa form za wagombea...

Tume inafata sheria sio matakwa ya chama chochote hahahahaha
 
Ndo maana tunasema tume sio huru, mafanikio ya tume hayawezi
kuwa kuengua wagombea kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.Tume iengue wagombea kwa kutumia katiba na sio kanuni.mgombea akikosea kujaza fomu ajazishwe nyingine.Waamuzi wawe wananchi kwenye sanduku LA kura.

Kwanini usifate masharti ya uchaguzi?
 
Kuna yeyote aliyemuwekea pingamizi huyu, DED akapeta na watu wakakata rufaa ila NEC wakatupilia rufaa yao?

..nimesoma kwamba rufani za jimbo la mwanga zimetupiliwa mbali.

..ni kweli wapinzani wanafanya makosa ambayo umeyaita ya kijinga.

..je, ccm wana "chanjo/vaccination" ya kuwakinga na kufanya makosa hayo kiasi kwamba wanapita 100%?

..ccm si wako hata hapa jukwaani, na ndiyo wanaongoza kwa ujinga.
 
Back
Top Bottom