Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Daima mtu mjinga haonagi hayaWakurugenzi hapo sijui wanajisikiaje huko waliko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daima mtu mjinga haonagi hayaWakurugenzi hapo sijui wanajisikiaje huko waliko.
Kawadanganye mazuzu wa lumumba tuSo far Tume inafanya vyema sana. Dr. Mahera ni mtu makini na bila shaka ataendelea kuheshimu taaluma yake
Watawarudisha tu, iweje wasiyo jua kusoma wa ccm wajaze vizuri ma wale wasomi washindwe kujaza?Hawawezi kuwarudisha wote kizembe hata wale waliochafua form kwa makusudi baada ya kula mpunga wa watu.
Lets wait and see baada ya uchambuzi kukamilika kwenye rufaa zote
Zamani zipi hizo wakati huu ujinga umekuzwa awamu hii? wacha kufichia watu ujinga wao.Huyu atleast ana guts za kutengua walichoamua maDED. Zamani kidogo ilikuwa ndoto. DED akishapiga spanner, NEC huko juu walikuwa wanabariki tu. Mwaka huu kuna changes kidogo...angalau mpaka sasa
Ila wanaccm wooooote ndiyo pekee wamekamilisha kila kigezo! Mpumbavu mmojaTume sio wa pumbavu bali mnaosema warudishqe wote ndo wapumbavu. Hebu sikieni, kwa maana hiyo hakukuwa na maana ya kuweka vigezo basi kama kila mtu anaweza kugombea, hao mnaosema warudishwe wameshindwa kukidhi vigezo vilivyowekwa. Hivo hawana sifa za kuwa wagombea full stop
Mkuu achana na huo mfugoWewe mwenyewe ni mpuuzi pia, unashindwa kwenda kuwajulia hali wazee wako Mwandiga unashinda lumumba tu na kigazeti chako cha uhuru na mzalendo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda wanajaziwa.Watawarudisha tu, iweje wasiyo jua kusoma wa ccm wajaze vizuri ma wale wasomi washindwe kujaza?
Acha uzushi bana, sijaona muheza ila Dodoma mjini yesMiongoni mwa wagombea wa Chadema waliorejeshwa ni pamoja na wa Dodoma mjini, Vunjo na Muheza (wote wanawake)
Ilemela pingamizi liliamuliwa na mkurugenzi na mgombea wa chadema kurudishwa, Ina maana huyu mama naibu waziri anjelina mabula aliweka pingamizi lingine kimyakimya!
Nimefurahi sana kwa taarifa hii. Sasa MwanaFA kazi anayo!Miongoni mwa wagombea wa Chadema waliorejeshwa ni pamoja na wa Dodoma mjini, Vunjo na Muheza (wote wanawake)
Wanazipitia na kuzitolea maamuzi baada ya kukaa nao na kupewa maelekezoHii tume imejaa wapumbavu na wachimvi akiwemo mwenyekiti wao.
Huwezi ukakaa na rufaa za wagombea siku 10 na kampeni zinaendelea kwenye majimbo husika...
Labda wanajaziwa.
Truth be told, kuna baadhi ya wapinzani wamefanya makosa ya kipuuzi sana. Kwa makusudi? We might never know.
Unaanzaje “kusahau” kupiga sahihi? Tarehe ya kuzaliwa unaweka 8 Sept 2020 kweli?CCM/DEDs/NEC wanatumia udhaifu huu kuwanyoosha
Kuna yeyote aliyemuwekea pingamizi huyu, DED akapeta na watu wakakata rufaa ila NEC wakatupilia rufaa yao?..mgombea ubunge wa ccm jimbo la mwanga alisahau kuweka sahihi ktk kiapo chake..Tume imepitisha kugombea.
Tume siyo kipomo cha uzuri wa mgombea, wao ni wasimamizi wa uchaguzi siyo wasimamizi wa form za wagombea...
Ndo maana tunasema tume sio huru, mafanikio ya tume hayawezi
kuwa kuengua wagombea kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.Tume iengue wagombea kwa kutumia katiba na sio kanuni.mgombea akikosea kujaza fomu ajazishwe nyingine.Waamuzi wawe wananchi kwenye sanduku LA kura.
Kuna yeyote aliyemuwekea pingamizi huyu, DED akapeta na watu wakakata rufaa ila NEC wakatupilia rufaa yao?