Uchaguzi 2020 NEC imekubali rufaa nyingine 13 na kurejesha wagombea, rufaa nyingine 14 za walioteuliwa zimekataliwa

Hapana, warudishwe wote! Hii ya kuchuja nani wamkate na nani wamrudishe HAPANA! Kwa Majaliwa hajarudishwa, kwa Mnyeti hajarudishwa, kwingine wamerudishwa, hapana, haki itendekekhajarudishwa.
 
Jambo la msingi na kubwa kuliko yote ni kubadilisha sheria ya uchaguzi na kanuni zake kuondoa kipengele cha kupita bila kupingwa.
Hiki kipengele kinatumiwa vibaya na watu waovu na kusababisha makosa ya jinai kama uvamizi, unyang'anyi, utekaji na rushwa.
Hakuna sababu na haikubaliki kuwa na sheria itakayochochea uhalifu.
 
Hapana, warudishwe wote! Hii ya kuchuja nani wamkate na nani wamrudishe HAPANA! Kwa Majaliwa hajarudishwa, kwa Mnyeti hajarudishwa, kwingine wamerudishwa, hapana , haki itendekekhajarudishwa,
Amini nakuambia watarudishwa wote. Lissu hajaja kitoto.
 
Miongoni mwa wagombea wa Chadema waliorejeshwa ni pamoja na wa Dodoma mjini, Vunjo na Muheza (wote wanawake)
 
Hivi wewe una akili au matope? Acha watu waongelee mambo ya msingi sio unaleta upoloto wako hapa
Kati ya mimi na wewe nani hana Akili!!
Uwe unaficha upumbavu wako walau kidogo
 
Tume sio wa pumbavu bali mnaosema warudishqe wote ndo wapumbavu. Hebu sikieni, kwa maana hiyo hakukuwa na maana ya kuweka vigezo basi kama kila mtu anaweza kugombea, hao mnaosema warudishwe wameshindwa kukidhi vigezo vilivyowekwa. Hivo hawana sifa za kuwa wagombea full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…