Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hata sasa hivi sheria hakuna popote inaposema kukosea kujaza fomu ni kigezo cha kumuengua mgombea.Kwenye mabadiliko ya katiba yanayohitajika ni pamoja na kuweka bayana muundo na utendaji wa hii tume. Katiba itamke wazi kuwa moja ya kazi za tume iwe ni kusaidia wagombea kwenye ujazaji fomu, na kwamba kukosea kujaza kamwe halitakuwa kosa la mtu kukosa sifa. Pia fomu zijazwe na kutumwa kimtandao ili kuwatia adabu wanaofunga ofisi na wale wanao temper na hizo fomu.
Kama nilivyosema hili tume limejaa washenzi watupu ndiyo maana linafanya huu uhuni