Uchaguzi 2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

Wamemteua aliyewateua hiki ni kichina china tu, tunajizunguusha kupoteza muda na pesa tuπŸ˜„
 
Hio sio habari obviously habari ni Lissu kuteuliwa.
 
Imemteua au imempendekeza?
nijuavyo siku ya uteuzi bado, mana kuna siku ya mapingamizi mpka ipite kesho na kujibu pia kama yapo, je wanuwakika hakuna mapingamizi?
au ndio kunazuio la kutoweka mapingamizi?

alafu unampitishaje na wagombea wenzie hawajakagua fomu yake kuona kam ipo sahihi?
 
Hivi ina maana mgombea akirudisha tu fomu basi tume inamteua hapo hapo kugombea urais bila kujipa muda kukaa, kupitia na kuzifanyia kazi taarifa zilizojazwa pamoja na viambatanisho vyote vilivyotolewa na hiyo fomu... nisaidieni jamani sijaelewa.
 
Hivi TBC ni Tv ya CCM au ya umma?

Hivi inakuwaje pesa za walipa kodi zinafanya mambo ya chama tawala tu inashindwa kufanya mambo ya vyama vingine...

Huu ndio uhuni anaousema Tundu Lissu Kila siku.

Pesa za umma kutumika pasipo ridhaa ya Wananchi.

ya taifa lakini kuna watu ni aibu kuwarusha hewan maaana, vyama vyooote vingine hadi mzee wa wali anaonyeshwa live mjitafakari
 
Hivi TBC ni Tv ya CCM au ya umma?

Hivi inakuwaje pesa za walipa kodi zinafanya mambo ya chama tawala tu inashindwa kufanya mambo ya vyama vingine...

Huu ndio uhuni anaousema Tundu Lissu Kila siku.

Pesa za umma kutumika pasipo ridhaa ya Wananchi.
Kuna Rais apo ujue ni tofaut na wahun wa chadema

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
He ticks all boxes.

Wana wa nchi will mark it down on October 28th.

Results will sum-up everything.
 
Huwa ninapata tabu sana kuelewa comments zako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…