Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti unasemaje!Ratiba ya upokeaji form iliwekwa na tume yenyewe.
Mpaka kumpokea Lissu kuingia na kuzipokea fomu kulikuwa na mjadala mrefu na giza lilipoingia wakampokea, lakini wakatengenezs kigezo kingine kipya duniani kigezo cha kuliondoa Nina la mgombea kwenye orodha endapo atafanya kosa, sasa utaliondoaje ndipo ikabuniwa njia hii, tulishuhudia akiadhibiwa kama mwanafunzi wa shule ya msingi.Hivi wagombea wote(15) wa kiti cha Urais waliweza kupata wadhamini na kukidhi vigezo vyote kiurahisi kasoro Mh Lissu pekee? Hii nchi chini ya ccm ni tatizo sana
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sababu ya kijinga kabisa. Karne ya leo unatoa upupu huu? Kwanza si kweli eti aliwasilisha fomu akiwa wa mwisho. Rekodi zinaonyesha Lissu alifika Tume majira ya saa 4 Asubuhi. Utopolo wa Tume wa kushindwa kutafsiri sheria za Uchaguzi na maelekezo yao wenyewe ndiyo yaliyofanya awe wa mwisho. Huwezi kumwadhibu yeyote kwa ujinga wako mwenyewe. Pili, karne hii, hata mfumo wa kompyuta unafahamu utaratibu wa alphabet kutoka A-Z. Kwanini utaratibu huu haukutumika? Unapoongoza chombo nyeti na wakati nyeti ni vema ukawa na akili za ziada kubuni maswali ya ziada yatakayotosheleza bongo zenye upeo wa ziada. La sivyo, wewe ni poyoyo tu na nafasi uliyopewa ni hisani kwa hasara yako.Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukoba.
Mbeba maono Lissu ana ujumbe mzito. Kila dhuluma anayotendewa inabadilika kuwa neema yenye baraka na maelezo kwenye vitabu vitakatifu. NEC/WATAWALA hawajalitambua hili. Biblia inasema kuwa Mungu alimfanya Farao (utawala wa dhuluma wa Misri) awe na moyo mgumu ili ukuu wake (Mungu)udhihirike. Ndivyo Farao alivyofanya. Akawazuia Waisraeli wasiende Kanaani nchi ya asali na maziwa (Haki , Uhuru, na Maendeleo ya watu). Mungu akawaua wazaliwa wote wa kwanza wa Wamisri awe binadamu au mnyama. NEC/WATAWALA hawalijui andiko hili bado mpaka pale watakapoona vifo vya wazaliwa wao wa kwanza.Ni unabii unatimia, wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa mwisho. Angewekwa katika isingekuwa na maana ya kinabii, kila Jambo lipo calculated japo waliopanga awakufikiria wanatimiza unabii.
Pili imesaidia wapiga kura wengi tayar wanajua ni namba ngapi
Mimi ninachofurahi ni jinsi tume inavyowapiga za mbavu machadema, maana kila kichaka wanachojaribu kujificha tume inakichoma.
Ni jambo jema!
Katika ulimwengu wa roho nafasi za mwisho mwisho siyo za kupuuza!
Walikosea sana hiyo kwa Tundu ni advantage mnoooooAkihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukoba.
Wewe waache wamesahau ile kanuni inasema wa mwisho atakuwa wa kwanza na wa kwanza atakuwa wa mwisho.....Oooh jibu zuri. Wa kwanza wa kwanza na wa mwisho wa mwisho
Kwahiyo orodha iliandaliwa kadri wagombea walivyokua wanirudishe form😍👍