moyo wenye aman i
Senior Member
- Nov 12, 2019
- 177
- 297
Hata awekwe pande ipi nampa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwi kwi kwi kwi kwi kwiMimi ninachofurahi ni jinsi tume inavyowapiga za mbavu machadema, maana kila kichaka wanachojaribu kujificha tume inakichoma.
Kapige kura ili mgombea wako aambulie hata za kunywea majiHizo ni porojo tu! Hawa watu ni manyangau, wakola!
kwahiyo walimweka mwisho kurudisha fomu ili ku justify kumweka mwisho kwenye karatasi!
Kwani waliopanga ratiba ya kurudisha form si ni NEC?Ni leo tu au ndio utaratibu miaka yote huo? Maana angerudisha wa kwanza mngemuweka mwisha kwa kigezo cha herufi ya jina lake ‘T’ iko chini sana kwenye mtiririko wa alphabet
Imenenwa na Mungu. AMENHawakupokea fomu zake mapema MPAKA alilalamika KUWEKWA chumba cha MAPOKEZI KWA MUDA MREFU.
ILI KUHALALISHA KUWA WA MWISHO.
LAKINI KUMBUKA "WA KWANZA ATAKUWA WA MWISHO NA WA MWISHO ATAKUWA WA KWANZA"
Ndio hapo sasaKwani waliopanga ratiba ya kurudisha form si ni NEC?
Ha ha haAkihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza na Tundu Lissu alirejesha akiwa wa mwisho.
Ameongeza kuwa kwa ngazi za ubunge na udiwani wagombea walipangwa katika karatasi za kura kwa maelekezo ya Tume
Hata hivyo amesema hiyo si sababu ya mpiga kura kutompigia kura mgombea anayemtaka.
Katika hatua nyingine amesema tume imejipanga kikamilifu kuondoa changamoto katika mchakato huu wa uchaguzi.
Nikipata nafasi nitawawekea audio clip
mbarikiwe
Byabato
Bukoba.