Muhimu Ni lissu kupewa fomu za urais akishalipa one millionGENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Mnatamani sana kufanya Fuji,safari hii hakuna nafasi ya kuanzisha Fuji,mnashindwa dhahiri huku dunia yote ikiwaangalia kwa macho ya hurumaUsishangae Siku hiyo wakafunga ofisi.
1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Una akili nyingi mpaka kuna muda nafikiria kukuazima!!!
Mitano ya nduli makufuli inatosha, utawala wake wa mkono wa chuma sasa basi.Usimfananishe Magufuli na msaliti wa nchi
Mitano ya nduli makufuli inatosha, utawala wake wa mkono wa chuma sasa basi.Ila MAGUFULI Ni kipenzi Cha watu si mchezo
wapo wakutetemekea siyo huyo kichaa
Mnatamani sana kufanya Fuji,safari hii hakuna nafasi ya kuanzisha Fuji,mnashindwa dhahiri huku dunia yote ikiwaangalia kwa macho ya huruma
Lissu ndio nini??
8. Arudie vilevile alivyompongeza Mheshimimiwa Magufuli "........kwa kuteuliwa na chama chetu CCM........", ampongeze Mheshimiwa Lissu "........kwa kuteuliwa na chama chetu CHADEMA........"7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
Mkuu Gentamycine, tuwekee picha na Video tuona hali ilivyokuwa..
Hii Namba 7 wakuu mnaionaje?? Au hawa wajumbe waliotajwa hapa namba 7 wameshamwelewa Lissu nini?1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Alafu ukishaona baada ya hapo utanenepa au ?
[/Quote
Kasome fasihi kidogo ili hata ujue ni Nini anamaanisha.
Tatizo lake atakuja na ving'ola na mapikipiki, vigodoro huku wakiimba kwa kumuuita laisi, laisi, laisi, laisi...... sasa hiyo nifujo hata kama mtu ulikuwa umejipanga kuwapatia fomu kwa unyenyekevu you can not tolerate that stupid move. Ni mpuuzi tu ndiyo anaweza kuwachekea na kuwasifia1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Tatizo lake atakuja na ving'ola na mapikipiki, vigodoro huku wakiimba kwa kumuuita laisi, laisi, laisi, laisi...... sasa hiyo nifujo hata kama mtu ulikuwa umejipanga kuwapatia fomu kwa unyenyekevu you can not tolerate that stupid move. Ni mpuuzi tu ndiyo anaweza kuwachekea na kuwasifia
Mkuu, mbona unalialia?? kuwa mpole tuuu corona isikuingie, tukutane oktoba 2020'Ubongo' wako Kichwani mwako una uhakika kuwa hauna 'Walakini' wowote Mkuu, hasa kutokana na huu 'Upuuzi' wako mwingi uliotuanikia hapa?
Utendaji wao ni STANDARD, hukuwaona wakati wagombea wengine wale waliochukua fomu juzi namna NEC walivyo fanya. Wako SMART na watafanya kweli kwa wote.1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Utendaji wao ni STANDARD, hukuwaona wakati wagombea wengine wale waliochukua fomu juzi namna NEC walivyo fanya. Wako SMART na watafanya kweli kwa wote.