Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AKITENDA HAKI MBONA NI HANDSOME TU?Ni kweli mwanaume hasifiwi sura lakini daah! Sura ya huyo mzalendo ni sheeedah.
Ili wawe na muda wa kutosha wa kuwateka.Siku saba kabla ya uchaguzi!
Muda mzuri wa kuwanunua 'wakala' wanaotafuta shibe.
Hatari kubwa kwa CHADEMA ipo hapa. Kuna mtego mahsusi umewekwa kuwanasa.
Waanze kuwateka mapema na kuwabambika kesi wakao kataa kununuliwaKuna kitu hapo sio bure😕
Figisu hazitakosa mkuu. Hapa ndipo ccm wanapategemea sanaNEC iwe serious pasiwepo figisu mawakala.
Jamaa ana sura mbaya balaa , any way mkuu anapenda weupe tu
Hivi wakuu kwa nini Lissu alishikia bango sana mawakala waapishwe?
Ili wawatambue vema waanze kudili nao mapema?
Ni maandalizi ya Rushwa. Ile ya kutokuwaapisha tayari imeshafeli .Tundu Lissu alisemee hili mapema kabisa Kama tahadhari ikitokea wakala wa chadema Katekwa waccm watekwe Mara mbili pia nadhani Kuna harufu ya rushwa hapo kwa mawakala.
Hongera Tume kwa kuendelea kuitendea haki uchaguzi taarifa hizi ni muhimu Sana kwa sisi wananchi tuzidi kujipanga vyema kuelekea uchaguzi mkuu.
Haaa,,,,naiona kuna kona ya kipigo kizito cha kura kwa wapinzani.kwisha,,kwisha kabisa JPM keshatoboa.