Uchaguzi 2020 NEC: Mawakala wataapishwa siku saba kabla ya uchaguzi

Unavyowasemea sasa, utafikiri uatakuwa kwenye ufahamu wao🤪.Chamsingi mkizidiwa hatutaki kusikia zile kelele zenu za kujitetea kuwa mmeibiwa kura.
"Kuzidiwa" kama kule kulikotokea wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa? Mbona hatua hiyo ilishapitwa na wakati, wewe bado uko huko?
 
Hizi kauli zenu za kujivuna zisije kubadilika hapo baadae zikawa za malalamishi.
 
Wizi wa CCM ukidhibitiwa, hakuna utakayemsikia akilalamika; kwa sababu ushindi utakuwa kwa anayestahiri kushinda.
 
Back
Top Bottom