Uchaguzi 2020 NEC: Mawakala wataapishwa siku saba kabla ya uchaguzi

Vyama hasa CDM, baada tu ya kuapishwa hawa makawaka watageuka na kuwa na thamani kubwa mno...ni lazima wawe na timu ya kuwalinda..... !! Mawakala ndiyo uchaguzi wenyewe!!

Mawakala ndiyo ushindi wenyewe, huwezi kupewa ushindi kirahisi...lazima hujuma za kila aina pamoja na majaribu ya kiuchumi yatawapitia.
 
Tundu Lissu alisemee hili mapema kabisa Kama tahadhari ikitokea wakala wa chadema Katekwa waccm watekwe Mara mbili pia nadhani Kuna harufu ya rushwa hapo kwa mawakala.
kila kituo nchi nzima kiwe na kamati ya kulinda ushindi .... Wakala akijaribu kuuza mechi huyo ashughulikiwe yeye na familia yake.
 
Kuna kitu hapo sio bure[emoji53]
Hapo wanataka wawajue mawakala mapema ili watembeze hela kwa mawakala wa upinzani. Wiki moja inatosha kuwarubuni mawakala ili hata wasifike vituoni au kuwateka kabisa wakishawajua hasa wenye msimamo mkali.

Kuna taarifa kwamba kwenye baadhi ya majimbo Mkoa wa Arusha wametenga shilingi laki 3 kwa kila wakala wa upinzani ili waruhusu kura zilizokwisha pigwa. Uchaguzi uliopita baadhi ya vituo waliingiza masanduku ya bia lakini hakukuwa na chupa yenye bia, ni makaratasi ya kura ambazo tayari zimepigwa.
 
nasikia dili kila wakala wa CDM akikubali mechi ni 1m... akikataa anatekwa analeweshwa ulanzi.... anaamka saa nane mchana uchaguzi unakaribia kuisha.
 
Safari hii watapata wakati mgumu sana. Sasa hivi mawakala wengi ambao nimewaona na kuzungumza nao ni wafia chama hasa. Wengi ni watu wazima wenye heshima zao na siyo wale vijana walevi walevi opportunists.
 
Uchguzi wa mwaka huu unaonekana kuwa na mambo mengi ya hovyohovyo ili mradi tu uwe mgumu kwa baadhi ya wagombea
 
Siku saba kabla ya uchaguzi!

Muda mzuri wa kuwanunua 'wakala' wanaotafuta shibe.

Hatari kubwa kwa CHADEMA ipo hapa. Kuna mtego mahsusi umewekwa kuwanasa.
Sasa kama wanachadema wote ni waadilifu na wapo tayari kulipambania taifa hata kwa kuingia barabarani, inakuwaje mnakosa Imani juu ya mawakala wenu ambao nao Ni miongoni mwenu.?
Au ndo tukubaliane, mpo kwaajili yakutafuta shibe ili msife kwa unyafuzi?
 
Vyama hasa CDM, baada tu ya kuapishwa hawa makawaka watageuka na kuwa na thamani kubwa mno...ni lazima wawe na timu ya kuwalinda..... !! Mawakala ndiyo uchaguzi wenyewe!!

Mawakala ndiyo ushindi wenyewe, huwezi kupewa ushindi kirahisi...lazima hujuma za kila aina pamoja na majaribu ya kiuchumi yatawapitia.
Me naamini wanachadema wote ni wazalendo, hawapo kwaajili ya kutafutia matumbo yao, kwahiyo msiwaze Sana hawawezi kununulika 🤪🤪
 
nasikia dili kila wakala wa CDM akikubali mechi ni 1m... akikataa anatekwa analeweshwa ulanzi.... anaamka saa nane mchana uchaguzi unakaribia kuisha.
Mtatoa kila aina ya RAMLI, si munatuongopea chadema iko mioyoni mwa makamanda, iweje mziogope sheria za uchaguzi. Haya mmepewa muda muandae mawakala ili wakaape kufia chadema siku ya uchaguzi. Kipigo kiko palepale
 
Siku saba kabla ya uchaguzi!

Muda mzuri wa kuwanunua 'wakala' wanaotafuta shibe.

Hatari kubwa kwa CHADEMA ipo hapa. Kuna mtego mahsusi umewekwa kuwanasa.
Hofu iko hapa. Km wabunge waliibgia line, Je hao WANANCHI wa kawaida itakuwepo.
Tuendelee kukuomba Mungu wetu awatie moyo ya kutenda Haki ktk uchaguzi huu wasimamizi wote.
 
Mtego niliouna apo: alisema mawakala wataapishwa na barua zao za kutambuliwa watazikuta kituo cha kupigia kura.... kwaio Wakala hatatoka nyumbani kwake na Utambulisho wowote bali ataukuta kwenye kituo cha kupigia kura...... Aminini mawaambia hapa ndipo ulipofichika mchezo mchafu.
 
Baraza la maaskofu Tanzania na bakwwata wapo tu huu ufedhuli ukifanyika hawasemi chohote wanasubiri kinuke na sadaka zetu jumapili wale.
 
Sasa kama wanachadema wote ni waadilifu na wapo tayari kulipambania taifa hata kwa kuingia barabarani, inakuwaje mnakosa Imani juu ya mawakala wenu ambao nao Ni miongoni mwenu.?
Au ndo tukubaliane, mpo kwaajili yakutafuta shibe ili msife kwa unyafuzi?
Hata shetani alikuwa malaika safi kabisa tamaa ikamletea shida mpaka leo.
 
Kwahiyo mwanachadema yoyote anaeonekana mwadilifu,Hadi kufikia hatua yakupewa majukumu ya uwakala hubadilika na kuwa shetani?

Ndo tukubaliane kwamba chini ya jua kila mtu anapambania tumbo lake😂.
 
Back
Top Bottom