kila kituo nchi nzima kiwe na kamati ya kulinda ushindi .... Wakala akijaribu kuuza mechi huyo ashughulikiwe yeye na familia yake.Tundu Lissu alisemee hili mapema kabisa Kama tahadhari ikitokea wakala wa chadema Katekwa waccm watekwe Mara mbili pia nadhani Kuna harufu ya rushwa hapo kwa mawakala.
Hapo wanataka wawajue mawakala mapema ili watembeze hela kwa mawakala wa upinzani. Wiki moja inatosha kuwarubuni mawakala ili hata wasifike vituoni au kuwateka kabisa wakishawajua hasa wenye msimamo mkali.Kuna kitu hapo sio bure[emoji53]
huyu jamaa picha zake ni kama mtu asiyekuwa na uhakika wa mambo anayoyafanya.... yaani asiyejiamini amini.....
huyu jamaa picha zake ni kama mtu asiyekuwa na uhakika wa mambo anayoyafanya.... yaani asiyejiamini amini.....
nasikia dili kila wakala wa CDM akikubali mechi ni 1m... akikataa anatekwa analeweshwa ulanzi.... anaamka saa nane mchana uchaguzi unakaribia kuisha.Hapo wanataka wawajue mawakala mapema ili watembeze hela kwa mawakala wa upinzani. Wiki moja inatosha kuwarubuni mawakala ili hata wasifike vituoni au kuwateka kabisa wakishawajua hasa wenye msimamo mkali.
Kuna taarifa kwamba kwenye baadhi ya majimbo Mkoa wa Arusha wametenga shilingi laki 3 kwa kila wakala wa upinzani ili waruhusu kura zilizokwisha pigwa. Uchaguzi uliopita baadhi ya vituo waliingiza masanduku ya bia lakini hakukuwa na chupa yenye bia, ni makaratasi ya kura ambazo tayari zimepigwa.
Safari hii watapata wakati mgumu sana. Sasa hivi mawakala wengi ambao nimewaona na kuzungumza nao ni wafia chama hasa. Wengi ni watu wazima wenye heshima zao na siyo wale vijana walevi walevi opportunists.nasikia dili kila wakala wa CDM akikubali mechi ni 1m... akikataa anatekwa analeweshwa ulanzi.... anaamka saa nane mchana uchaguzi unakaribia kuisha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mavi matupu
Sasa kama wanachadema wote ni waadilifu na wapo tayari kulipambania taifa hata kwa kuingia barabarani, inakuwaje mnakosa Imani juu ya mawakala wenu ambao nao Ni miongoni mwenu.?Siku saba kabla ya uchaguzi!
Muda mzuri wa kuwanunua 'wakala' wanaotafuta shibe.
Hatari kubwa kwa CHADEMA ipo hapa. Kuna mtego mahsusi umewekwa kuwanasa.
Me naamini wanachadema wote ni wazalendo, hawapo kwaajili ya kutafutia matumbo yao, kwahiyo msiwaze Sana hawawezi kununulika 🤪🤪Vyama hasa CDM, baada tu ya kuapishwa hawa makawaka watageuka na kuwa na thamani kubwa mno...ni lazima wawe na timu ya kuwalinda..... !! Mawakala ndiyo uchaguzi wenyewe!!
Mawakala ndiyo ushindi wenyewe, huwezi kupewa ushindi kirahisi...lazima hujuma za kila aina pamoja na majaribu ya kiuchumi yatawapitia.
Mtatoa kila aina ya RAMLI, si munatuongopea chadema iko mioyoni mwa makamanda, iweje mziogope sheria za uchaguzi. Haya mmepewa muda muandae mawakala ili wakaape kufia chadema siku ya uchaguzi. Kipigo kiko palepalenasikia dili kila wakala wa CDM akikubali mechi ni 1m... akikataa anatekwa analeweshwa ulanzi.... anaamka saa nane mchana uchaguzi unakaribia kuisha.
Hofu iko hapa. Km wabunge waliibgia line, Je hao WANANCHI wa kawaida itakuwepo.Siku saba kabla ya uchaguzi!
Muda mzuri wa kuwanunua 'wakala' wanaotafuta shibe.
Hatari kubwa kwa CHADEMA ipo hapa. Kuna mtego mahsusi umewekwa kuwanasa.
Hilo nimeliwaza sana kutekwa, kutekwa,kutekwa ndugu zangu Wana CHADEMA tuweke na tuwe na njia mbadala ukitokea huu upumbafu.
Tume ya uchaguzi wanashiriki wazi wazi kuharibu uchaguziHilo nimeliwaza sana kutekwa, kutekwa,kutekwa ndugu zangu Wana CHADEMA tuweke na tuwe na njia mbadala ukitokea huu upumbafu.
Hata shetani alikuwa malaika safi kabisa tamaa ikamletea shida mpaka leo.Sasa kama wanachadema wote ni waadilifu na wapo tayari kulipambania taifa hata kwa kuingia barabarani, inakuwaje mnakosa Imani juu ya mawakala wenu ambao nao Ni miongoni mwenu.?
Au ndo tukubaliane, mpo kwaajili yakutafuta shibe ili msife kwa unyafuzi?
Kwahiyo mwanachadema yoyote anaeonekana mwadilifu,Hadi kufikia hatua yakupewa majukumu ya uwakala hubadilika na kuwa shetani?Hata shetani alikuwa malaika safi kabisa tamaa ikamletea shida mpaka leo.