Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Tume wameshajichanganya wenyewe,Tarehe 20 kupitia chombo cha habari walikiri kutokupokea majina Chadema,leo wanasema walipokea majina tarehe 19-wamejiaibisha kiukweli na kikubwa internet haidanganyi.
UmethibitishaHakuna kosa kubwa Tz kama kugushi sahihi ya mtu sasa kama NEC wamegushi mimi naomba Chadema wafungue kesi ya kugushi sahihi.
CHADEMA WAKIFUNGUA KESI NAOMBA MNITAG.
Yote yanaweza kuwa majibu sahiikwani hao wabunge wa chadema mna maslahi gani kwann msiteue hata kutoka jeshi la polisi kwanini lazima chadema..,kwahiyo mnyika anaesema hajawasilisha majina ni mpumbavu na hajielewi.??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Azam inaweza hata kulipuliwa
Duh, mbona nec inazidi kujipaka kinyesi namna hii. Au kuna nec mbili ndani ya nchi moja?Hawa Nec nao vinyonga.View attachment 1635993
Itakua maridad 💯Sawa. Ngoja tuone hii miaka mitano itakuwa mirefu au mifupi
NEC ilitoa taarifa hiyo Novemvber 12, sijui kama waliirudia tena november 20Hawa Nec nao vinyonga.View attachment 1635993
Nakubaliana na wewe 100%.Tatizo ni kubwa kuliko tunavyolifikiria!
Mahera ni tapeli.Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.
Mbowe sio criminal tu.....ni Bandit mkubwaYote hii hutaki kumgusa Mbowe, Mbowe ndo criminal hapa, ...
Barua ambayo wamesema ndiyo wametumia kuteua majina (barua inayo majina yani [emoji23]).
Ila kumbuka tarehe 20 Nov NEC walisema hawajapokea majina kutoka Chadema.
View attachment 1635983
Ile iliyokana kupokea majina ni NEC,Mbona NEC walikataa kupokea majina toka Chadema!
....za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.Hapo case closed wale ni wabunge kamili hayo mengine ni kelele tu
Mbona mmewasamehe Kama hakusaini formHata kama umenyofolewa ubongo basi hata kupapasa huwezi ? hivi Unajua kwamba Nusrat alitolewa gerezani tarehe 23 usiku na Mdee akishirikiana na mfumo ? ni wapi katibu mkuu wa Chadema alimsainisha fomu Nusrat aliyewekwa selo tangu july 2020 ? halafu hata kama kichwani umewekwa udongo tangu lini ccm na Ndugai wakawa watetezi wa wabunge wa Chadema ?
Mwenye chama mali yake lazima wamuogope, nasikia wengine waliingia na kandambili saizi wanatunisha vibesi.Mmnamuogopa Mbowe mnakaa kuhangaika .
Hapo kwenye Freeman Mbowe na mkurugenzi wa NEC wanaongea lugha moja nataka kukubaliana na wewe. Ili tuwekwe vizuri kwenye mwanga juu ya hili, NEC waweke hadharani form za wabunge walioteuliwa na kuapa ili umma uone signature ya aliyebariki hiyo orodha kupelekwa tume. Kama ni signature ya Mbowe ijulikane na kama ni ya Mnyika ijulikane na hata kama ni ya mwingine yeyote katika CHADEMA ijulikane. Pia ndugu johnthebaptist yafaa ujiulize maswali haya. Tume ilipata orodha ya "wabunge" 19 wa CHADEMA tarehe 19/11/2020 wakati huo ndani ya orodha hiyo kuna jina la mmoja akiwa mahabusu/gerezani Singida, Nusrat, sijui CHADEMA walikosa watu kabisa kumuorodhesha mtu aliyewekwa ndani kwa muda wa zaidi ya siku 180, walikua na uhakika gani kwamba angepitishwa na tume ya Charles Mahera huku akiwa anatuhumiwa na Jamhuri. Baada ya orodha kupokelewa, CHADEMA walivyo na nguvu, waliweza kumshawishi DPP amfutie mashtaka mtuhumiwa aliye gerezani na 23/11/2020 usiku akaweza kutolewa na kusafirishwa kwenda Dodoma kuapishwa kuwa mbunge. Hii inaacha maswali ambayo unaweza kusaidia kuyajibu.Kama ulimsikiliza JJ Mnyika, then ukamsikia Halima Mdee akisema Mbowe aliwapigia simu wabunge wote na kuwapongeza kwa kuteuliwa utagundua kuwa mwenyekiti wa kamati kuu Freeman Mbowe na Mkurugenzi wa NEC wanaongea lugha moja.
Swali ni kwamba kama Mnyika amekana kuandika barua NEC kwanini Mbowe aliwapongeza wabunge?
Mbowe na Mnyika wanapaswa kuhojiwa na Tume ya maadili ya viongozi.
Hakuna wasomi huko ni walewale wa PhD za jalalani!Inasikitisha sana watu wasomi kabisa lakini ajabu wanabuluzwa hovyo na wana siasa kiasi hiki!!