Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Tume wameshajichanganya wenyewe,Tarehe 20 kupitia chombo cha habari walikiri kutokupokea majina Chadema,leo wanasema walipokea majina tarehe 19-wamejiaibisha kiukweli na kikubwa internet haidanganyi.
Atajisahihisha na kusema waliipokea tarehe 21. Lakini nayo itamtia kwenye matatizo ya namna Nusrat alivyoteuliwa, na kujaza fomu na kuwahi kwenye uapisho! Wakati mwingine ni bora kujinyamazia. Labda aseme ilipokewa masjala tarehe 19 na wakati anaongea ilikuwa haijafika mezani kwake.
Amandla...