Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Ngoja nimsaidie
The issue ni je alijazaje fomu akiwa jela? Na Je ni lini alienda mahakamani kupiga mihuri?
Mkuu Gerezani anaweza kujaza fomu na pia akaenda kwa hakimu kwa escort ya magereza. Vyote vinawezekana mkuu!
 
Ulitaka waambatanishe na barua ya Mnyika? Si uende NEC kama unataka kuhakiki mkuu?
Nyie jamaa bhana mlitumia nguvu na pesa kushinda uchaguzi na kuwaponda upinzani saiv mnatumia nguvu tena kuwataka N kuwatetea upinzani ?[emoji3]
 
Wafungue kesi kwa mahakama ipi ambayo itatenda haki? hivi CHADEMA wateue mbunge wa viti maalum akatolewe gerezani usiku wa manane kuja kuapisha tena anashitakiwa na jamhuri?
Hahahaaa
Maajabu ya mzee Rajabu kumuoa binti Rajabu.
Michezo mingine ni vizuri ukawaza mwisho itakuweje kuliko kuangalia mwanzo tu.
Waandishi nao hovyo tu, badala ya kuwahoji tume, spika na wahusika wote wa hii move wao maic ni chadema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…