Hakuna kosa kubwa Tz kama kugushi sahihi ya mtu sasa kama NEC wamegushi mimi naomba Chadema wafungue kesi ya kugushi sahihi.
CHADEMA WAKIFUNGUA KESI NAOMBA MNITAG.
Inawezekana ilipokelewa tarehe 19/11/2020 lakini ilikuwa haijawafikia wakubwa ilikuwa bado iko kwa junior staff!
Sasa ni ushirikiano upi ulitolewa?Kwanza unatakiwa ujue hakuna mtu anaeitwa Chadema ... Chadema ni taasisi hao BAWACHA ndio Chadema ninao wazungumzia
Barua ya Mnyika ndiyo ushahidi unaotakiwa, hata hivyo hitima imekwisha usalama.Ulitaka waambatanishe na barua ya Mnyika? Si uende NEC kama unataka kuhakiki mkuu?
Kwani hao kumi na tisa ni wanachama wa CCM?Sasa ni ushirikiano upi ulitolewa?
Kwani mtu hawezi kutoka chadema na kwenda kuapa kuwa viti maalum bila ya kushirikisha chama chake cha chadema ikiwa mamlaka za serekali pamoja na bunge wana maslahi nae?Kwani hao kumi na tisa ni wanachama wa CCM?
Mtu hunena ya ujazayo moyo wake. Hapa tu umeonyesha wewe ni mtu wa aina gani.Safisha kundu lako , papuchi na domo lako Hilo ndio uje kuandika utumbo kuhusu Chadema .
Malaya wahed wewe
ukifuatilia kwa makini hata viongozi wa chadema wanahusika maana hamna aliyekanusha....!View attachment 1636551
Hizo sehemu mbili nilizo zungushia duara zinafuta hiyo assumption yako. yeye alisema kufikia muda huo tarehe 20/11/2020 hawakuwa wamepokea majina kutoka chadema na alilisema hivyo tarehe 20/11/2020. Kwenye barua anasema walipokea tarehe 19/11/2020. Assumption yako haiwezi kuapply maana pia kwenye barua bado anazidi kujichanganya kwa kusema 20/11/2020 tume ilikaa kuteua wabunge na madiwani (kumbuka hii tarehe 20/11/2020 ndiyo hii hii tarehe aliyokanusha kuwa hawajapokea majina then hapa anasema tume ilikaa).
Hapa NEC ni wazi wanacheza mchezo
Ndo kwanza wanapongezwa.Usemacho ni kweli lakini kwa nchi hii haiwezekani wakatolewa. Tujizoeze kuishi nao kama tunavyoishi na Covid 19 maisha yaendelee
ukifuatilia kwa makini hata viongozi wa chadema wanahusika maana hamna aliyekanusha....!
Ila NEC wameonyesha usanii kwanza tukubaliane hilo kauli zao zinajichanganya na uzuri kuna ushahidiukifuatilia kwa makini hata viongozi wa chadema wanahusika maana hamna aliyekanusha....!
Huyu akiongea tarehe 20/11/2020 alisema hawajapokea majina toka chadema. Halafu jana anakuja na kauli hii ya kupinga alichoongea tarehe ishirini nani ana michezo ya kitoto.View attachment 1637006
Chadema acheni michezo ya kitoto hizo game zenu hazina akili hata kidogo. Kumbe baruwa na majina mliandika na mkapeleka.
Unafiki ndio pepo kuu linalo litafuna chadema na mnapo elekea mnasambaratika kweli kweli. Mbowe mnafiki John mnyika mnafiki na kamati kuu chadema ni wanafiki. Wanajuwa kila kinacho endelea ndani ya sacoss yao.
Yani ni hatari sana. Marehemu Ruge alisema ogopa teknolojiaChadema ni hatari kama iliweza kumsainisha Nusrat Hanje akiwa jela na kupeleka jina lake ili awe mbunge hiki chama ni zaidi ya FBI
Vipi wewe ni unavuta bangi nini? hapa watu wanajadiliana na kila mmoja ana uhuru wa kusema anachotaka. Upumbavu wako wa kuleta comments za kijinga usinielekezee mimi. Hunijui sikujui. Endelea kuvuta bangi na kuwa mtu usoweza kutumia akili yako.Umeshikiwa bunduki uamini? Kutokuamini kwako wewe kuna athiri vipi mipango iliyopo Kati ya CHADEMA na NEC?
Nakusikitikia, kwanini usikae kimya tu?View attachment 1637006
Chadema acheni michezo ya kitoto hizo game zenu hazina akili hata kidogo. Kumbe baruwa na majina mliandika na mkapeleka.
Unafiki ndio pepo kuu linalo litafuna chadema na mnapo elekea mnasambaratika kweli kweli. Mbowe mnafiki John mnyika mnafiki na kamati kuu chadema ni wanafiki. Wanajuwa kila kinacho endelea ndani ya sacoss yao.