Pre GE2025 NEC yabadilishwa jina sasa kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 2959711
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi.

Katika taarifa iliyotolewa leo katika mitandao ya kijamii ya ofisi hiyo imesema:

“Tunapenda kuvitaarifu vyombo vyote vya habari kwamba, kufuatia tangazo la Serikali namba 225 la Machi 29, 2024 Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba 2 ya mwaka 2024, itaanza kutumika rasmi Aprili 12, 2024.

“Hivyo, kuanzia Aprili 12, 2024 jina la Tume litabadilika na litakuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi au kwa kiingereza Independent National Electoral Commission,”imesema taarifa hiyo.

Chanzo: mwananchi digital
well done...

nia njema, moyo mweupe, dhamira njema kwa vitendo.... :KasugaYeah:

viva very able and loved leader, the president and commander in chief of Tz Defense Forces, Comrade Dr. Samia Suluhu Hassan viva:ClapHD:
 
View attachment 2959711
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi.

Katika taarifa iliyotolewa leo katika mitandao ya kijamii ya ofisi hiyo imesema:

“Tunapenda kuvitaarifu vyombo vyote vya habari kwamba, kufuatia tangazo la Serikali namba 225 la Machi 29, 2024 Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba 2 ya mwaka 2024, itaanza kutumika rasmi Aprili 12, 2024.

“Hivyo, kuanzia Aprili 12, 2024 jina la Tume litabadilika na litakuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi au kwa kiingereza Independent National Electoral Commission,”imesema taarifa hiyo.

Chanzo: mwananchi digital
Wajumbe wa Tume hiyo je Wataendelea kuwa wale wale walioteuliwa na Rais? Au je kila chama na dini zote kutakuwemo wajumbe kutoka kwa kila chama au wataendelea wale wale wa ccm kindaki ndaki?
 
Back
Top Bottom