CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Abdala sasa aitwa DulaMohamed now anaitwa Mwamedi
Said saizi ataitwa Side
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abdala sasa aitwa DulaMohamed now anaitwa Mwamedi
Said saizi ataitwa Side
haki yetu tunaipata kwa ihsani ya mtu!!Mpaka hapo wameshakosea.MSEMAJI WA SERIKALI ANAIZUNGUMZIA TUME YA UCHGUZI?
Tume huru ya uchaguzi ni zaidi ya kubadili jina!Mambo safi sasa, huu ni muelekeo mzuri, tuandae kadi zetu za kupiga kura, dhamiri njema iko dhahiri, Viva Samia Vivaaaa
Mwislam amuite nguruwe white paper ili aweze kumla vizuri!View attachment 2959711
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi.
Katika taarifa iliyotolewa leo katika mitandao ya kijamii ya ofisi hiyo imesema:
“Tunapenda kuvitaarifu vyombo vyote vya habari kwamba, kufuatia tangazo la Serikali namba 225 la Machi 29, 2024 Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba 2 ya mwaka 2024, itaanza kutumika rasmi Aprili 12, 2024.
“Hivyo, kuanzia Aprili 12, 2024 jina la Tume litabadilika na litakuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi au kwa kiingereza Independent National Electoral Commission,”imesema taarifa hiyo.
Chanzo: mwananchi digital
Wanazijua akili za Wa Tz, wameamua kuhadaa kwa kubadili jina.Wanadhani shida ilikuwa ni jina?
Tatizo sio jina kubadilika, je itakua huru kweli?View attachment 2959711
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi.
Katika taarifa iliyotolewa leo katika mitandao ya kijamii ya ofisi hiyo imesema:
“Tunapenda kuvitaarifu vyombo vyote vya habari kwamba, kufuatia tangazo la Serikali namba 225 la Machi 29, 2024 Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba 2 ya mwaka 2024, itaanza kutumika rasmi Aprili 12, 2024.
“Hivyo, kuanzia Aprili 12, 2024 jina la Tume litabadilika na litakuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi au kwa kiingereza Independent National Electoral Commission,”imesema taarifa hiyo.
Chanzo: mwananchi digital
Isije ikawa tumebadili lebo ila mvinyo ni ule ule wa zamaniView attachment 2959711
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi.
Katika taarifa iliyotolewa leo katika mitandao ya kijamii ya ofisi hiyo imesema:
“Tunapenda kuvitaarifu vyombo vyote vya habari kwamba, kufuatia tangazo la Serikali namba 225 la Machi 29, 2024 Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba 2 ya mwaka 2024, itaanza kutumika rasmi Aprili 12, 2024.
“Hivyo, kuanzia Aprili 12, 2024 jina la Tume litabadilika na litakuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi au kwa kiingereza Independent National Electoral Commission,”imesema taarifa hiyo.
Chanzo: mwananchi digital
Watanzania wanatukanwa matusi ya nguoniView attachment 2959711

Dhalimu Magufuli ndio alikuja kuweka mipaka ya hizi chaguzi za kishenzi. Bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ya kweli, watu wajinga tu, ama wanaofaidika na hizi chaguzi za kishenzi ndio wataendelea kujitokeza kupiga kura. 2020 tulichora mstari wa kuendelea kushiriki chaguzi zinazofanywa kwa matakwa ya ccm.Mambo safi sasa, huu ni muelekeo mzuri, tuandae kadi zetu za kupiga kura, dhamiri njema iko dhahiri, Viva Samia Vivaaaa
Long way to go.
Simple like that..!
Tayar tunatume huru.
Yaani tunakwepa kuandika Katiba mpya tunakimbilia kutamka kuwepo Tume huru!!!
Sure huwezi kuchezea kodi kwa kutunga ujinga kama huuPole sana kwa kujua kuwa CCM ina wabunge wajinga sana kuliko ujinga wenyewe.
Tatizo kubwa zaidi ni CCM.
Huyo hakusoma hiyo miswaada iliopitishwa na kuwa sheria ktk tume ya uchaguzi ndio maana anakurupuka, angesom vizuri asinge andika asichokijua.Kwani watz wanashida na jina ama mchakato wote wa uchaguzi?
Ni hatariHuyo hakusoma hiyo miswaada iliopitishwa na kuwa sheria ktk tume ya uchaguzi ndio maana anakurupuka, angesom vizuri asinge andika asichokijua.
Watanzanzia wengi hatuna tabia ya kujifunza mambo ya msingi au kusoma, ili kuepuka kufuata mkumbo, ukweli simshangai maana kama "Huijui akiba ni lazima utashangaa salio" 😊
Alafu wanataka tuwe sirius kulipa kodi inhiiiiiiiiiTanzania BURUDANI sana..Viongozi wetu hawajawahi kuwa serious hata kwa mambo ya MSINGI!