Uchaguzi 2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

Uchaguzi 2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

Ratiba zipi?

Hivi hizo ratiba zinaonesha hadi majina ya wana timu ya kampeni?

Hivi Majaliwa akiwa Kagera na Magu yuko Iringa, Majaliwa akisema niko kwenye timu na ratiba ya mgimbea ubunge wa jimbo husika utakuwa na la kuhoji?
Hivi unayo akili ya kujiongeza kweli? Unamaanisha kwamba majaliwa nyupo kwenye tim ya kampeni mgombea ubunge wa hilo jimbo?
Maccm mmeoza kweli
 
Back
Top Bottom