OttoThyPrince
Senior Member
- Jun 24, 2020
- 113
- 80
Hivi unayo akili ya kujiongeza kweli? Unamaanisha kwamba majaliwa nyupo kwenye tim ya kampeni mgombea ubunge wa hilo jimbo?Ratiba zipi?
Hivi hizo ratiba zinaonesha hadi majina ya wana timu ya kampeni?
Hivi Majaliwa akiwa Kagera na Magu yuko Iringa, Majaliwa akisema niko kwenye timu na ratiba ya mgimbea ubunge wa jimbo husika utakuwa na la kuhoji?
Maccm mmeoza kweli