Maendeleo Kwanza1
Member
- Apr 4, 2020
- 16
- 7
"Hatua ya kumtangaza Mshindi"Safi kabisa!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo, capacity building. NEC ambapo ni Tume huru, japo sio shirikishi, ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura.
P
Magari 20, Toyota Landcruiser za mkonga iwe ni habari ndogo!.Sioni matinki ya uzinduzi ama hafla ya tume huru kukabidhiwa magari. Ilipaswa iwe taarifa fupi tu toka mwenyekiti wa tume tumenunua ama kupokea magari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatutaki NEC iliyo huru kwenye makaratasi Bali inayofanya kazi kwa Uhuru na itapatikana tuMkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building. NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.
P
Hatua sio ya kumtangaza mshindi, bali kumpata mshindi halali, itaboreshwa kwa maximum transparency."Hatua ya kumtangaza Mshindi"
Duh...!.Hatutaki NEC iliyo huru kwenye makaratasu Bali inayofanya kazi kwa Uhuru na itapatikana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp kwani ilishindikana tu kutolewa taarifa fupi ikielezea hilo tukio?Magari 20, Toyota Landcruiser za mkonga iwe ni habari ndogo!.
P
Usijifanye huna akili, tunajua unazo kidogoDuh...!.
Haya...
P
Huwezi kuwa mbunge kwa tume hii, kaa kimyaHatua sio ya kumtangaza mshindi, bali kumpata mshindi halali, itaboreshwa kwa maximum transparency.
P
Waache wakutane na Corona, Boris Johnson wa uingereza amehamishiwa hospitaliniMambo mengine yanashangaza sana nyakati hizi za Corona!
Habari kubwa au ndogo hutofautiana kati ya mtu na mtu! Hivyo huyo mdau yupo sawa bila usumbufu na wewe upo sawa kwa uelewa wakoMagari 20, Toyota Landcruiser za mkonga iwe ni habari ndogo!.
P
Unajishushia heshima yako, kuwa upande wa haki hata Kama una njaa, hupati kura ng'ooMagari 20, Toyota Landcruiser za mkonga iwe ni habari ndogo!.
P