NEC yakabidhiwa magari 12 maandalizi Uchaguzi Mkuu

NEC yakabidhiwa magari 12 maandalizi Uchaguzi Mkuu

Mambo mengine yanashangaza sana nyakati hizi za Corona!

Haya ni Tanzania tu ambako maisha ya watu si kipaumbele.

Anayetaka uchaguzi katika hali tete ya sasa na Corona ni wazi kuwa hatufai.

Tupambane na Corona kwanza. Hata bunge kule haya ya bajeti tungeacha kwanza. Twapanga bajeti ipi sisi marehemu watarajiwa wa wiki chache mbele?
 
Kwa nini wasingekuwa na akaunti yao maalumu iliyoundwa kwa mujibu wa bunge wawe huru kutimiza mahitaji yao wakati wanao hitaji.

Hii kupewapewa tuvitu na vifungu vya fedha uchaguzi unapowadia ndiyo chanzo cha uhuru wao unapokuwa compromized

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building. NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.

P
Safi sana Pascal "vuta kamba"
 
Nimekuleteeni magari 12 alafu mtangaze mpinzani ndio mshindi.
Hapo sasa unaharibu. Kwani hawo wabunge wetu wa upinzani zaid ya 30 nani aliwatangaza kwamba wameshinda si tume hii ndo iliwatangaza? Acheni kuchochea mabaya.
 
Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building. NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.

P
NEC sio TUME HURU, Mr. pascal acha kujitoa ufahamu
 
Waziri wa kazi,na vijana ..... upuuzi mtupu,kazi gani hiyo ajira gani hiyo?wazara ya kidwanzi hii ifutwe tu lasivyo tujue hata majukumu na mafanikio ya wizara hii ni nini?maisha bado magumu halafu eti wizara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa taarifa.
Tume si lazima iwe shirikishi paschal ukadhani itamaliza malalamiko yetu.

Tuna aina tano tume za uchaguzi.
1.independent model kama sehemu ya executive ambayo oversights yake inatoka bungeni.

2. Tume kama sehemu ya muhimili WA dola kama ilivyo bunge, serikali na mahakama

3. Tume shirikishi ambayo inaundwa na hao watu WA vyama kutengeneza namna ya utendaji kisha utendaji kufanywa na serikali.

4. Tume ya kimahakama itakayoundwa na majaji ili kusimamia chaguzi za serikali na bunge.

5. Tume ya kiserikali itayokuwa kama wizara au sehemu ya majukumu ya wizara. Hii ipo Tanzania ktika chaguzi za serikali za mitaa.

Ama wanasiasa hawajui wanachotaka au sisi hatujui tunachotaka.

Kwa msingi huo, na utendaji huo je tume yetu iko huru kama vyombo huru vinavyotafsiriwa hapa chini?

regulatory agencies are typically a part of the executive branch of the government and have statutory authority to perform their functions with oversight from the legislative branch. Their actions are generally open to legal review.



Kama sivyo, walioiunda hawakujua wanaunda nini.

Paschal kuhusu elimu si jukumu lao kwa mujibu WA katiba na sheria.

Mkitaka kuelewa tume huru haswaa jifunzeni kuhusu tume ya uchaguzi ya Canada
 
Hapo sasa unaharibu. Kwani hawo wabunge wetu wa upinzani zaid ya 30 nani aliwatangaza kwamba wameshinda si tume hii ndo iliwatangaza? Acheni kuchochea mabaya.
Huna habari ni majimbo mangapi walidhulumiwa kwa nguvu tu za ffu ?!
Anzia Nyamagana , Shinyanga, Rorya nk. nk.

Tume iko chini ya Mhagama unategemea nini ?!

Odhis *
 
Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building. NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i-team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.

P
kaka wewe kama mwandishi huru unapowaambia watanzania Tume siyo shirikishi una maana gani? hebu niambie ni wap Katiba inaeleza kuwa Tume kabla ya kuacha kwa mchakato wowote wa uchaguzi ifanye mikutano na vyama vya siasa, Asas za kiraia, makundi maalum, viongozi wa dini, waandishi wa habali. bila shaka jibu litakuwa hapana, ila tume hufanya hivyo mara zote, hata tarh23/3/20 vyombo vya habar viliripoti kuwepo kwa mkutano kati ya viongozi wa vyama vya siasa na Tume, sasa hebu nieleweshe unataka uwaz gani wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo morali ya wapiga kura imeshuka sana, elimu inahitajika Sana katika hili.
Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building. NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i-team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building. NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i-team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.

P

Tume isiyo huru vya uchaguzi imepewa magari, sisi tuliowengi tunasema tume hiyo sio huru, na wala hatuna imani. Na iwapo uchaguzi huo mkuu huo muundo wa tume hautabadilishwa, tutashawishi watu wengi kuususia maana hauna uhalali. Tumechoka kwenda kupanga mstari katika vituo vya kura, huku rais akiwa ameiagiza tume isiyo huru kutangaza washindi wagombea wa ccm bila ridhaa ya umma.
 
Back
Top Bottom