NEC yakabidhiwa magari 12 maandalizi Uchaguzi Mkuu

NEC yakabidhiwa magari 12 maandalizi Uchaguzi Mkuu

Pole kwa kuwa daima haunielewi.
Nilikushauri juu uwe ethusiatic and firm ( harara) emotions hazijawahi kushinda isipokuwa hoja.

Nikakushauri usilaumu mpini kwa kuwa najua wakulima si shida kwako.
Laumu jembe linalolima vibaya ardhi.

Hizi ni sentensi zenye mafumbo rahisi ambazo ni za kifalsafa.

Nilitaka niwe kwenye mashua (to dwell on your thinking) yako katika hoja hapa jukwani na si kwingine kokote.

Pole sana kwa kukuhangaisha. Niliona michango yako imenigusa na nikadhani naweza kusafir kwenye mashua yako hivyo, nilikuacha utafute jembe lakin umeshindwa. Pole na samahani
Halikuwa lengo langu ufikir mbali huko
Lkn endelea kutafuta jembe hilo bovu.

Huenda umekuja na marking scheme hapa jukwaani, hivyo unaamini wewe ndio unatembea na majibu sahihi, kwahiyo yoyote ambaye haiendi kwenye hiyo mitazamo yako basi huyo hayuko sahihi! Unapoleta mafumbo na kusema ni ya kifalsasa ila hizo falsafa unataka zikutane na mitazamo yako, hata sielewi unasema nini. Hayo mafumbo yako sio hesabu useme 2+2=4 kwa mantiki ya kwamba ukijumlishia China, UK, US au hapa Daresalaam jibu lake litakuwa hiyo hiyo 4. Hiyo unayooana kwako ni 9, kwangu ni 6 kutokana na angle niliyosimama. Hivyo hayo mafumbo yako, sijui falsafa hazina nafasi, maana sio lazima nipate jibu lililo kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom