Mambo mengine yanashangaza sana nyakati hizi za Corona!
Hivi P. NEC kuwa chini ya kina Mhagama unajisikiaJe ?!Duh...!.
Haya...
P
Kwani ajabu hapo ni nini mkuu pascal?Magari 20, Toyota Landcruiser za mkonga iwe ni habari ndogo!.
P
Safi sana Pascal "vuta kamba"Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building. NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.
P
Hapo sasa unaharibu. Kwani hawo wabunge wetu wa upinzani zaid ya 30 nani aliwatangaza kwamba wameshinda si tume hii ndo iliwatangaza? Acheni kuchochea mabaya.Nimekuleteeni magari 12 alafu mtangaze mpinzani ndio mshindi.
Wanawezaje kuboreshwa kwa mazingira ya Sasa?Hatua sio ya kumtangaza mshindi, bali kumpata mshindi halali, itaboreshwa kwa maximum transparency.
P
Hapo sasa unaharibu. Kwani hawo wabunge wetu wa upinzani zaid ya 30 nani aliwatangaza kwamba wameshinda si tume hii ndo iliwatangaza? Acheni kuchochea mabaya.
NEC sio TUME HURU, Mr. pascal acha kujitoa ufahamuMkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building. NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.
P
Nafikiri Pascal yuko sahihi. Kama hiyo tume inatangaza na wapinzani kama wameshinda inakaribia tabia za tume huru haina ubaya.NEC sio TUME HURU, Mr. pascal acha kujitoa ufahamu
Haya mkuuNafikiri Pascal yuko sahihi. Kama hiyo tume inatangaza na wapinzani kama wameshinda inakaribia tabia za tume huru haina ubaya.
Huna habari ni majimbo mangapi walidhulumiwa kwa nguvu tu za ffu ?!Hapo sasa unaharibu. Kwani hawo wabunge wetu wa upinzani zaid ya 30 nani aliwatangaza kwamba wameshinda si tume hii ndo iliwatangaza? Acheni kuchochea mabaya.
Tatizo kubwa ni TUMBO kama alivyo Profesa wa jalalani na kwaya nzima ya mapambio na kuabudu.Usijifanye huna akili, tunajua unazo kidogo
Mkuu sio hisani wala msaada.Ni wajibu wa serikali kuwawezesha tume kwa mujibu wa bajeti. Hii mambo ya kuanza kuanza kusifia na kupongeza ni zinapunguza nguvu na maamlaka tume huru.Magari 20, Toyota Landcruiser za mkonga iwe ni habari ndogo!.
P
kaka wewe kama mwandishi huru unapowaambia watanzania Tume siyo shirikishi una maana gani? hebu niambie ni wap Katiba inaeleza kuwa Tume kabla ya kuacha kwa mchakato wowote wa uchaguzi ifanye mikutano na vyama vya siasa, Asas za kiraia, makundi maalum, viongozi wa dini, waandishi wa habali. bila shaka jibu litakuwa hapana, ila tume hufanya hivyo mara zote, hata tarh23/3/20 vyombo vya habar viliripoti kuwepo kwa mkutano kati ya viongozi wa vyama vya siasa na Tume, sasa hebu nieleweshe unataka uwaz gani weweMkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building. NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i-team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.
P
Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building. NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i-team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.
P
Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building. NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i-team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.
P