Steven Nguma
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,072
- 1,148
Kwauelewa wangu mdogo sana nafikiri serekalini kuna magari mengi sana kwanini tusinge hamisha baadhi ya magari kutoka taasisi nyingine za serekali badala ya kununuwa hayo magari? maana nikuongeza mzigo wa garama kwa wananchi tuu maanadalizi tu ndio tununuwe magari mazito hivyo? Garama za kuyahudumia nikubwa jamani!Magari 20, Toyota Landcruiser za mkonga iwe ni habari ndogo!.
P
Magari 20, Toyota Landcruiser za mkonga iwe ni habari ndogo!.
P
Tindo utajishusha hadhi na itakuwa aibu kusema hivyo Mbele ya umma.Tume isiyo huru vya uchaguzi imepewa magari, sisi tuliowengi tunasema tume hiyo sio huru, na wala hatuna imani. Na iwapo uchaguzi huo mkuu huo muundo wa tume hautabadilishwa, tutashawishi watu wengi kuususia maana hauna uhalali. Tumechoka kwenda kupanga mstari katika vituo vya kura, huku rais akiwa ameiagiza tume isiyo huru kutangaza washindi wagombea wa ccm bila ridhaa ya umma.
Tindo utajishusha hadhi na itakuwa aibu kusema hivyo Mbele ya umma.
Tafuta sabubu solid zaid ya tume ili tuone kuwa your ethusiatic person.
Be firm and try again later
Tindo utajishusha hadhi na itakuwa aibu kusema hivyo Mbele ya umma.
Tafuta sabubu solid zaid ya tume ili tuone kuwa your ethusiatic person.
Be firm and try again later
Tindo amekuwa ukisoma mabandiko yangu juu hiliKama heshima itashuka kwa kuongea ukweli, naomba ishuke hata baada ya hii post. Ninachokisema sijakisema kwa bahati mbaya, bali naaongea jambo ninalofahamu, na nina ushahidi na mwenendo wa hiyo tume kutokuwa huru. Ni hivi, hiyo tume sio huru, na haitakaa iwe huru kwa muundo huu, na ugumu inaokutana nao ccm kwenye chaguzi zetu, sioni hiyo tume ikiacha kuitumikia ccm. Nitawashangaa sana watu wanaojitambua kwenda kupanga mstari katika kituo cha kura eti kuchagua kiongozi, huku maagizo nani atangazwe mshindi yakiwa yameshafanyiwa. Uchaguzi chini ya tume hii, ni kipimo halisi cha ujinga wa mtu mweusi fullstop.
Hapana, CCM ni vyema ikaghaamia uchaguzi wake.😂😂😂😂Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building.
NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i-team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.
P
Tindo amekuwa ukisoma mabandiko yangu juu hili
Swali. Umepiga kura Mara ngapi ukiwa na tume hii?
Ulifurahi mara ngpi?
Ulikasirika Mara ngapi?
Tafuta sababu acha harara ( emotions) zikuongoze.
Fikir, walioiunda walikosea?
Walifanya kwa bahati mbaya? Au walikuwa wajinga na wapumbavu?
Unaochopaswa kukataa si mpini anaoutumia mkulima kulima vibaya Bali jembe lisilochimba na kulainisha vizuri ardhi.
Tafuta jembe, usiangaike na mpini na ni hapo tu nitasafiri na wewe kwenye mashua yako. Najua wapo wengi nyuma yako msaidiane
Ahsante kwa taarifa.
Tume si lazima iwe shirikishi paschal ukadhani itamaliza malalamiko yetu.
Tuna aina tano tume za uchaguzi.
1.independent model kama sehemu ya executive ambayo oversights yake inatoka bungeni.
2. Tume kama sehemu ya muhimili WA dola kama ilivyo bunge, serikali na mahakama
3. Tume shirikishi ambayo inaundwa na hao watu WA vyama kutengeneza namna ya utendaji kisha utendaji kufanywa na serikali.
4. Tume ya kimahakama itakayoundwa na majaji ili kusimamia chaguzi za serikali na bunge.
5. Tume ya kiserikali itayokuwa kama wizara au sehemu ya majukumu ya wizara. Hii ipo Tanzania ktika chaguzi za serikali za mitaa.
Ama wanasiasa hawajui wanachotaka au sisi hatujui tunachotaka.
Kwa msingi huo, na utendaji huo je tume yetu iko huru kama vyombo huru vinavyotafsiriwa hapa chini?
regulatory agencies are typically a part of the executive branch of the government and have statutory authority to perform their functions with oversight from the legislative branch. Their actions are generally open to legal review.
Kama sivyo, walioiunda hawakujua wanaunda nini.
Paschal kuhusu elimu si jukumu lao kwa mujibu WA katiba na sheria.
Mkitaka kuelewa tume huru haswaa jifunzeni kuhusu tume ya uchaguzi ya Canada
naona umejipigia pasi mkuu.Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building.
NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i-team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.
P
Ukiishaona dalili za neema kusukumiwa upande fulani, usicheze mbali, anza kujisogeza sogeza.naona umejipigia pasi mkuu.
Tume ina ukakasi hasa hasa kwa hawa wakurugenzi ambao wengi wao ni makada kindakindaki wa CCM kuwa ndiyo wasimamizi wakuu wa uchaguzi ngazi ya majimbo...Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building.
NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i-team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.
P
Wewe jipendekeze washakusahau uteuzi.Mkuu Maendeleo Kwanza, safi sana kwa habari hii!. Hizi ndizo habari za kimaendeleo tunapaswa kusikia. Hapa NEC inajengewa uwezo na serikali yetu kwa capacity building.
NEC ambapo ni Tume huru ya uchaguzi, japo sio shirikishi, pia ijengewe uwezo kutoa elimu ya mpiga kura kwa umma. NEC kama NEC yenyewe tuu pekee yake, haiwezi, lazima i-team up na wadau wa utayarishaji wa vipindi na utangazaji ili kuwaelimisha Watanzania.
P
Nilikushauri juu uwe ethusiatic and firm ( harara) emotions hazijawahi kushinda isipokuwa hoja.Naam, umeingia pale nilipokuwa napataka, mwanzo nilikuchukilia ni mpotoshaji kama wapotoshaji wengine, ila sasa nimegundua umejipanga. Sasa ngoja nikupe majibu yenye uhalisia ili ujue hicho unachoamini ww sio mambo ya kizazi hiki.
Nitatoa mfano mdogo lakini wenye uhalisia kwenye mchezo wa soka. Kutokana na malalamiko yasiyokwisha kwenye mchezo wa soka wamelata mfumo wa VAR, mfumo huo ni kuhakikisha katika mchezo wa soka mshindi, na matatizo mbalimbali ndani ya uwanja yanathibitishwa bila kuacha shaka. Sio kwamba huko nyuma mchezo wa soka haukuwepo, au hakuna timu iliyowahi kufurahi au kushinda ndani ya hayo mapungufu. Ila mfumo huo wa VAR umekuja kuhakikisha mshindi anapatikana bila kuacha malalamiko yasiyo na msingi.
Mimi kama mimi nimeshiriki uchaguzi mara nyingi chini ya tume hii, ila sikuwahi kuridhika na muundo, hata na mwenendo wake. Nilifurahi kwa mgombea niliyetaka kushinda aliposhinda, lakini hilo halimaanishi kuwa niliridhika na muundo au uhuru wa hiyo tume ya uchaguzi. Ww na wenzako wenye ajenda yenu ndio mnapotosha kuwa wapinzani wanataka tume huru ili watangazwe washindi. Kwa taarifa yako sisi tunataka tume huru, ili mshindi halali ndio atangazwe basi.
Walioiunda hiyo tume kwa wakati huo huenda walikuwa sawa, ila kwa mazingira haya tuliyopo leo, na kile kinachoendelea kwenye chaguzi zetu chini ya tume hii, ni mwendawazimu tu anaweza kusema tume hii ni huru. Nina mifano mingi ya dhahiri kuwa tume hii sio huru. Kwa kuangalia mfano wa hiyo VAR kwenye soka, hasa soka la ulaya, pamoja na kuwa maamuzi mengi yalikuwa yanaridhisha, lakini waliona wawe na mfumo wa VAR, je kwa hii tume inayochaguliwa na rais huku ikiwa na mapungufu mengi ya wazi kwanini isibadlishwe?
Halafu unaposema ili ww uwe kwenye mashua yangu ni pale nitakapofuata utashi wako, kwani ww ni nani mpaka mimi au sisi tufuate unachoamini ww? Rais mwenyewe wa nchi hatumuamini, itakuwa ww unayetumia fake ID hapa jukwaani? Kama una umaarufu ni huko mtaani, kijijini au ofisini kwako, lakini hapa jukwaani kinachokubeba ni hoja zako. Huyo Paskali mwenyewe anatumia verified ID, na tunamjua lakini tunampa vitu vyenye nchi kali, itakuwa ww uliyejiiunga hapa jukwaani 2015?
Usitafute husichokijua rafiki.Kimsingi tunaufahamu wa kutosha na tunajua tume huru iweje. Unaweza ukataja aina mbalimbali ya tume unazozifahamu ww kwani huenda ni mwanasheria, au hilo ni eneo la taaluma yako. Lakini sisi hatuhitaji mkanganyiko mkubwa maana sisi sio wataalamu wa miundo ya tume, ila kwa hapa Tanzania tunahitaji tume huru itakayotangaza mshindi halali, bila kupewa maelekezo popote fullstop.