NEC yakabidhiwa magari 12 maandalizi Uchaguzi Mkuu

Usitafute husichokijua rafiki.

Huenda unadhani sijui nikitakacho, hivyo umejipa nafasi ya kuamini hicho unachokiamini ww, mimi ndio sikijui. Pole sana boss.
 

Huenda umekuja na marking scheme hapa jukwaani, hivyo unaamini wewe ndio unatembea na majibu sahihi, kwahiyo yoyote ambaye haiendi kwenye hiyo mitazamo yako basi huyo hayuko sahihi! Unapoleta mafumbo na kusema ni ya kifalsasa ila hizo falsafa unataka zikutane na mitazamo yako, hata sielewi unasema nini. Hayo mafumbo yako sio hesabu useme 2+2=4 kwa mantiki ya kwamba ukijumlishia China, UK, US au hapa Daresalaam jibu lake litakuwa hiyo hiyo 4. Hiyo unayooana kwako ni 9, kwangu ni 6 kutokana na angle niliyosimama. Hivyo hayo mafumbo yako, sijui falsafa hazina nafasi, maana sio lazima nipate jibu lililo kichwani mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…