Uchaguzi 2020 NEC yakiri haijapokea majina ya CHADEMA Viti Maalum. Hongera CHADEMA kwa msimamo

Kwanini usiende wewe,hivyo viti ni mali ya NEC vinakufaa sana
 
Kinachomuuma ni nini kwa nini asikuchague wewe au awachague wake za mapolisi waliokuwa wakikimbia na maboksi wajaze nafasi za upinzani.
 
Bongo itakuwa kama ulaya mwaka 2025 huko tuwe na subira watanganyika
 
2025 chadema itaanza upya!!
 
Kama wamegomea viti maalum waachwe.

Kazi ya kuwakilisha wananchi haihitaji kulazimisha wala kulazimishwa

Maendeleo hayana vyama
Hawajagomea, kila mtu anataka watu wake ndo wawe wabunge viti maalum kila kiongozi kaleta hawara Yake, dada, mama mdogo nk Sasa hawaelewani maana chama kitashindwa kuwakamua mishahara yao maana kila mbunge viti maalum lazima ahonge 1.56 mil kila mwezi kwa Mbowe.
 
Huku spana ukienda insta napo spana tu kwa wabunge wa ccm huku comment zikiwa za kiwakiii mwaka huu na kuendelea watakiona cha moto
 
CHADEMA WAKATAE KILA KITU, UTAKUWA NI UKHANISI KAMA WATAKUBALI USHENZI HUO WAKATI LISU ANAKWQENDA KULIHUTUBIA BUNGE LA EU JUU YA UDHALIMU WA TANZANIA, WATAMUONA KICHAA NA MWONGOMKUBWA
 
Kama wamegomea viti maalum waachwe.

Kazi ya kuwakilisha wananchi haihitaji kulazimisha wala kulazimishwa

Maendeleo hayana vyama
Afisa kipenyo unahangaika kweli mtandaoni , kwani wakati mnaua watu , mnawajeruhi , piga risasi , bambika kesi , badilisha matokeo ,si mlitaka ushindi wa wabunge wote wa ccm , Sasa mnahangaika nini bakini kijani kibichi kitupu bungeni muipaishe nchi iwe Kama ulaya while the president mindset is that one of the dark ages .
 
Ndio siasa sio uadui ila watu wanaouliwa ni uadui?
 
Kwanini wewe usiende au mpeleke mkeo.
 
Mimi nakuunga mkono sana, CHADEMA kaeni pembeni muone maendeleo yanavyoongezeka. CUF walakaa pembeni 2015-2020 mnaona Zanzibar ilivyo zaidi ya Dubai sasa?
 
Mbumbumbu waliokaririshwa cha kusema wanajua nini hao.? Wanaambiwa Tanzania ni Dona Kantri wanashangilia Kama Mazuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…