Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maendeleo ni safari ndefu yenye kukosea na kujifunza kwingi.Tunataka baada ya miaka 5,Tukute Tanzania kama USA hivyo kama ndio tuliwachelewesha basi tunawaacha
Hawajagomea, kila mtu anataka watu wake ndo wawe wabunge viti maalum kila kiongozi kaleta hawara Yake, dada, mama mdogo nk Sasa hawaelewani maana chama kitashindwa kuwakamua mishahara yao maana kila mbunge viti maalum lazima ahonge 1.56 mil kila mwezi kwa Mbowe.
Kwa nini mnateseka?
Afisa kipenyo unahangaika kweli mtandaoni , kwani wakati mnaua watu , mnawajeruhi , piga risasi , bambika kesi , badilisha matokeo ,si mlitaka ushindi wa wabunge wote wa ccm , Sasa mnahangaika nini bakini kijani kibichi kitupu bungeni muipaishe nchi iwe Kama ulaya while the president mindset is that one of the dark ages .
Ukiona spika anasema hivyo basi ujue kwamba,ule upasuaji aliofanyiwa kule India ulifanyika vyema kwa kuutoa ubongo wake na kumuwekea kamasi.Spika kasema Kuna maneno uteuzi wa akina mama viti maalumu vyama vya upinzani kwa akina mama
Spika kaonya wabunge viti maalum upinzani wajihadhari na rushwa isiyoeleweka kuwa wataeuliwa huko vyama vyao wakijirahisisha kirushwa wasije kwenda kumshtakia wakikosa kuwa ohh Mimi Kuna Rushwa isiyoeleweka nilitoa na chama hakikuniteua
Kasema ndio maana Kuna ucheleweshaji kuwateua kwa visingizio vya kutunga Kuna maneno huko vyama vya upinzani
Quote
Mhhhhh Chadema wana Mpango wa kupeleka majina??“Mnyika mwenyewe anafahamu kuwa bado hatujapokea majina na alisema atayaleta majina hayo yeye mwenye endapo watakamilisha utaratibu wao, hivyo mpaka sasa hivi, NEC hatujapokea majina kutoka CHADEMA ambayo yamesainiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho,” alisema Mahera.
Sasa nimeelewa faida ya kutoa taarifa haraka unaponusa harufu ya usaliti.TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera, alisema tume bado haijapokea orodha hiyo kama ambavyo imekuwa ikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
“Kuna orodha ya majina inayosambaa kwenye mitandao ikionyesha majina ya wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA. Orodha hiyo si ya kweli kwani hadi sasa hatujapokea orodha ya majina ya walioteuliwa kwenye nafasi ya ubunge wa viti maalumu kutoka chama hicho,” alisema.
Mkurugenzi huyo alisema amesikitishwa na taarifa ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, iliyodai kuwa orodha ya majina hayo ni ya tume.
“Tume tumesikitishwa sana kusikia Katibu wa CHADEMA, John Mnyika, akidai kuwa orodha ya majina ya wa bunge wa viti maalumu ni ya tume. Imetusikitisha sana kwa kuwa siyo kweli,” aliongeza.
Dk. Mahera alisema aliwasiliana na Mnyika kwa kumpigia simu na kumwandikia barua ya kuulizia orodha ya majina hayo na kumwambia asubiri mpaka atakapoyaleta yeye mwenyewe baada ya utaratibu wa chama kukamilika.
“Mnyika mwenyewe anafahamu kuwa bado hatujapokea majina na alisema atayaleta majina hayo yeye mwenye endapo watakamilisha utaratibu wao, hivyo mpaka sasa hivi, NEC hatujapokea majina kutoka CHADEMA ambayo yamesainiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho,” alisema Mahera.
“Bado tunasubiri majina hayo ambayo yametiwa saini na kupigwa muhuri wa Katibu Mkuu wa chama kwa kuwa utaratibu ndio unaelekeza hivyo,” alisisitiza.
Kutokana na kuvuja kwa orodha hiyo, kuna taarifa kwamba Mnyika alimwandikia barua Dk. Mahera, kutaka kupewa ufafanuzi kama tume imeshatangaza na kuwasilisha bungeni majina 19 ya wabunge wa viti maalumu wa chama hicho.
Aidha, tangu kutoka kwa mijana hayo kwenye mitandao, kumekuwa na taharuki juu ya chanzo halisi cha majini hayo, huku wapinzani, wakiwamo CHADEMA, wakiirushia lawama NEC kuwa ndiyo imehusika.
Chanzo cha habari ni Gazeti la Nipashe
I szTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Hongera Sana CHADEMA kwa Msimamo huo ! Hapo tumetegwa mtego mbaya Sana ! Mkiteua tu , ni kwamba mmekubali Uchaguzi uliendeshwa kwa uhuru na haki !!! Msiteue . Waachane na bunge lao!Balaa
Nani kawalazimisha?, NEC wao.wametoa taarifa ya kukanusha taarifa ya wana ufipa kuwa NEC imepeleka bungeni majina na haiyajui.Kama wamegomea viti maalum waachwe.
Kazi ya kuwakilisha wananchi haihitaji kulazimisha wala kulazimishwa
Maendeleo hayana vyama
KIKAO cha CCM hko Dodoma kina semaje wana hoja gani lini watanza kuingia na nguo za CCM?Kwetu raha tuu
Mtakua mmeisaidia serikali sana kupunguza gharama.
Wahenga tunasema - Akunyimae kunde akupunguzia mashuzi. Bakini na kunde zenu😁😁😁😁
CHADEMA imatumia uhuru wake wa kidemokrasia kuwaachia CCM waendelee na lengo lao.Uhuru na Mawazo ya vyama vya uupinzani baada ya uchaguzi vitasaidia nini? Waendelee wenyewe huko Bungeni, lengo lao limetimia.
bange bila kula ni shida.[emoji41]Demokrasia haimaanishi lazima kuwe na Wabunge wa Upinzani. Watanzania wameamua kuchagua Wabunge wa CCM. Maamuzi yao ndio demokrasia.
Siku wakitaka kuchagua wapinzani watawachagua.
CHADEMA kama hawataki kushiriki Bunge ni chaguo lao. Kwanza wananchi wameshawakataa kwa kiasi kikubwa, kwahiyo hakuna madhara yoyote wasipokuwepo.
Hizo drama za orodha sijui wabunge iliandaliwa na wao wenyewe ili ionekane wanaonewa. Taratibu wanazijua, ili waendelee kushine lazima kila siku waje na story ambayo utasikia baade wana lazimisha kuwa lazima tume ije ijibu kwenye magazeti.TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera, alisema tume bado haijapokea orodha hiyo kama ambavyo imekuwa ikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
“Kuna orodha ya majina inayosambaa kwenye mitandao ikionyesha majina ya wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA. Orodha hiyo si ya kweli kwani hadi sasa hatujapokea orodha ya majina ya walioteuliwa kwenye nafasi ya ubunge wa viti maalumu kutoka chama hicho,” alisema.
Mkurugenzi huyo alisema amesikitishwa na taarifa ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, iliyodai kuwa orodha ya majina hayo ni ya tume.
“Tume tumesikitishwa sana kusikia Katibu wa CHADEMA, John Mnyika, akidai kuwa orodha ya majina ya wa bunge wa viti maalumu ni ya tume. Imetusikitisha sana kwa kuwa siyo kweli,” aliongeza.
Dk. Mahera alisema aliwasiliana na Mnyika kwa kumpigia simu na kumwandikia barua ya kuulizia orodha ya majina hayo na kumwambia asubiri mpaka atakapoyaleta yeye mwenyewe baada ya utaratibu wa chama kukamilika.
“Mnyika mwenyewe anafahamu kuwa bado hatujapokea majina na alisema atayaleta majina hayo yeye mwenye endapo watakamilisha utaratibu wao, hivyo mpaka sasa hivi, NEC hatujapokea majina kutoka CHADEMA ambayo yamesainiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho,” alisema Mahera.
“Bado tunasubiri majina hayo ambayo yametiwa saini na kupigwa muhuri wa Katibu Mkuu wa chama kwa kuwa utaratibu ndio unaelekeza hivyo,” alisisitiza.
Kutokana na kuvuja kwa orodha hiyo, kuna taarifa kwamba Mnyika alimwandikia barua Dk. Mahera, kutaka kupewa ufafanuzi kama tume imeshatangaza na kuwasilisha bungeni majina 19 ya wabunge wa viti maalumu wa chama hicho.
Aidha, tangu kutoka kwa mijana hayo kwenye mitandao, kumekuwa na taharuki juu ya chanzo halisi cha majini hayo, huku wapinzani, wakiwamo CHADEMA, wakiirushia lawama NEC kuwa ndiyo imehusika.
Chanzo cha habari ni Gazeti la Nipashe
Hata yule mbunge wa kuchongwa na CCM, CHADEMA naomba wamfute ibaki CCM pekee.Ni wakati wa kuendelea na maisha hivyo acheni kulialia badala yake pigeni kazi!Hizi habari za CDM ninyi wa upande huo ndio mmekuwa mnazikuza sana kuhusu viti maalum!
Napendekeza hata hao walioko bungeni wajiunge na CCM ili kusiwe ns kisingizio cha maendeleo kuchelewa!