Uchaguzi 2020 NEC yakiri haijapokea majina ya CHADEMA Viti Maalum. Hongera CHADEMA kwa msimamo

Wananchi hawajawakataa CHADEMA,bali idara yetu ikishirikiana na NEC na POLISI ndiyo waliochagua huu upuuzi,usitake kupotosha watu hapa
 
Tunataka baada ya miaka 5,Tukute Tanzania kama USA hivyo kama ndio tuliwachelewesha basi tunawaacha
Maendeleo ni safari ndefu yenye kukosea na kujifunza kwingi.

CCM wamekosea na wamejifunza mengi ndio maana wamekua na nguvu mpya, wakati USA wamekosea na kujifunza mengi zaidi ndio maana wana nguvu zaidi maendeleo makubwa

Tanzania kuwa kama USA inawezekana kabisa ila usisahau Tanzania ilipata uhuru 1961 na USA ilipata uhuru 1776.

Pamoja tunaweza, Maendeleo hayana vyama👍
 

Kazi kwekweli😂😂😂😂
Ubinafsi haujawahi waacha salama
 
Kwa nini mnateseka?

Kwetu raha tuu

Mtakua mmeisaidia serikali sana kupunguza gharama.
Wahenga tunasema - Akunyimae kunde akupunguzia mashuzi. Bakini na kunde zenu😁😁😁😁
 

King Kisali mbona hakuna anayehangaika???

Nimesema tuu kwamba "Kama wamegomea viti maalum waachwe. Kazi ya kuwakilisha wananchi haihitaji kulazimisha wala kulazimishwa"

Maendeleo hayana vyama
 
Ukiona spika anasema hivyo basi ujue kwamba,ule upasuaji aliofanyiwa kule India ulifanyika vyema kwa kuutoa ubongo wake na kumuwekea kamasi.
 
Mhhhhh Chadema wana Mpango wa kupeleka majina??
 
Sasa nimeelewa faida ya kutoa taarifa haraka unaponusa harufu ya usaliti.
 
I sz
Hongera Sana CHADEMA kwa Msimamo huo ! Hapo tumetegwa mtego mbaya Sana ! Mkiteua tu , ni kwamba mmekubali Uchaguzi uliendeshwa kwa uhuru na haki !!! Msiteue . Waachane na bunge lao!
 
Nani kawalazimisha
Kama wamegomea viti maalum waachwe.

Kazi ya kuwakilisha wananchi haihitaji kulazimisha wala kulazimishwa

Maendeleo hayana vyama
Nani kawalazimisha?, NEC wao.wametoa taarifa ya kukanusha taarifa ya wana ufipa kuwa NEC imepeleka bungeni majina na haiyajui.

Kwa hiyo kma hamtaki.kupeleka majima kaeni kimya muda ukiisha hakuna wa kuwauliza bali.mtakuwa mmetumia haki yenu.
 
Kwetu raha tuu

Mtakua mmeisaidia serikali sana kupunguza gharama.
Wahenga tunasema - Akunyimae kunde akupunguzia mashuzi. Bakini na kunde zenu😁😁😁😁
KIKAO cha CCM hko Dodoma kina semaje wana hoja gani lini watanza kuingia na nguo za CCM?
 
Binafsi sina uwezo wa kuishawishi kamati kuu ya CHADEMA lakini nawaomba wapeleke majina ya viti maalumu,wanawake wakaipiganie demokrasia bungeni wanaume waipiganie nnje ya bunge,tuwaamini wamejitoa na watajitoa kwa ajili ya chama.
 
Uhuru na Mawazo ya vyama vya uupinzani baada ya uchaguzi vitasaidia nini? Waendelee wenyewe huko Bungeni, lengo lao limetimia.
CHADEMA imatumia uhuru wake wa kidemokrasia kuwaachia CCM waendelee na lengo lao.
Huo ndio ukomavu wa kisiasa.
Unapoona jambo jema unaachia tu!
 
bange bila kula ni shida.[emoji41]
 
Hizo drama za orodha sijui wabunge iliandaliwa na wao wenyewe ili ionekane wanaonewa. Taratibu wanazijua, ili waendelee kushine lazima kila siku waje na story ambayo utasikia baade wana lazimisha kuwa lazima tume ije ijibu kwenye magazeti.
 
Sasa wakiletwa mcheleweshe maendeleo tulio ya kosa kwa miaka59.
Mje mtusimange tena CHADEMA kuwa ndio kikwazo.
MACCM nyie pigeni kazi tu, nchi ya chama kimoja hii.
 
CCM tupige kazi,maana tumewalaumu sana upinzani kuwa wanatucheleweshea maendeleo. Nimefurahi sana kuona wamegoma kuteua wabunge wa viti maalumu,wangeenda kutusumbua tu. Sasa naona bara bara yetu ya Mpiji Magoe iliyomshinda Mnyika jimbo la Kibamba inaenda kuwekwa lami.
 
Hata yule mbunge wa kuchongwa na CCM, CHADEMA naomba wamfute ibaki CCM pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…