Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
🤣🤣🤣 Kwamba haikuwa haki yao kuapishwa Ila raia ndo wamesababisha hao mawakala kuapishwa?

Chadema bwana,Yani jamaa wasingeapishwa kwa kutokidhi vigezo mngelalamika, hao nao wameapishwa kwakuwa wamekidhi vigezo,bado mnatafuta namna ionekane kwamba hawakutakiwa kuapishwa Ila kwa nguvu ya hao watu 1000 ndo imewezekana eeeh?
 
#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
Ha ha ha.....na ndiyo maana nilioa kule...shemeji zangu ni balaa....ikijichanganya tu hawajali we ni mkwe ama lah...
 
Tanzania ni nchi huru na vyombo vyake vyote viko huru
Asubuhi Dr Mahera aliposema analifanyia kazi alitukanwa sana. Tujifunze kuwa na ustaarabu na kuacha vyombo husika vifanye kazi zake
Analifanyia kazi ni jambo la surprise?
 
Analifanyia kazi ni jambo la surprise?
Inawezekana, wewe ulijua ingeshindikana?

Kikubwa sasa kaongeza siku 2 nzima za maboresho. Tutegemee mambo mazuriii
 
Uchaguzi huu sio wa miaka yote wasifanye ujanja ujanja watalipasua taifa hili wekeni mizani sawa bila kumpendelea flani mtaheshimika sana na jamii ila mkileta za kuleta itakuwa historia kabisa
 
Uchaguzi huu sio wa miaka yote wasifanye ujanja ujanja watalipasua taifa hili wekeni mizani sawa bila kumpendelea flani mtaheshimika sana na jamii ila mkileta za kuleta itakuwa historia kabisa
Hii ni tume huru ya uchaguzi
 
NEC kuweni makini Chadema wamesha ona kipigo kizito ndani ya sanduku la kura, wanatafuta mtu wa kumrushia Lawama, msipoangalia wanaweza susia uchaguzi dakika yoyote kutoka sasa. Lawama ziwe juu yenu.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo

Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
Asante Robert Amsterdam umewanyoosha Hawa wahuni
 
Wakurungenzi ndio wanao haribu pale wanapo waapisha chama a na chama b wanafunga ofisi angalia walivyo Fanya morogoro ila mahera katumia busara sana namsifu sana Leo kuongeza siku za kuapisha maana nilinusa halufu mbaya sana ingeenda kuligawa taifa hili.
Hii ni tume huru ya uchaguzi
 
Iwapo tutaibiwa kura Mwizi ni Mwizi tu Mura Msimamizi akiwa Mwizi kiberiti na Tairi Shingoni
Mtu mwenyewe wewe ukipigwa teke moja tu na FFU unaenda kuangukia Kisarawe ndiyo uingie barabarani. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.
 
Wakurungenzi ndio wanao haribu pale wanapo waapisha chama a na chama b wanafunga ofisi angalia walivyo Fanya morogoro ila mahera katumia busara sana namsifu sana Leo kuongeza siku za kuapisha maana nilinusa halufu mbaya sana ingeenda kuligawa taifa hili.
Tanzania ni nchi huru na vyombo vyake vyote viko huru

Asubuhi Dr Mahera aliposema analifanyia kazi alitukanwa sana. Tujifunze kuwa na ustaarabu na kuacha vyombo husika vifanye kazi zake
 
Mtu mwenyewe wewe ukipigwa teke moja tu na FFU unaenda kuangukia Kisarawe ndiyo uingie barabarani. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.
Sasa wewe unataka tuibiwe kura halafu tuseme "Hewala si Utumwa''
 
Katika uchaguzi huu NEC inajitahidi ili chadema wakose visingizio baada ya kushindwa katika sanduku la kura.
Hovyoooo......
Na hiyo mizengwe inayosikika kila mahali kaiandaa nani?
 
Huyu mahera ni mpumbavu asiyestahili kuitwa Dr. Hata juha anafahamu kuwa siku moja haitoshi kuwaapisha mawakala wote. Yeye daktari hakujua hilo? Isitoshe, Tume chini yake imeamua mawakala waapishwe wilayani siyo kwenye kata kama miaka iliyopita. Sasa Bwana daktari mpumbavu hakujua wingi wa mawakala na kwamba siku moja haitoshi? Alifikiri uchaguzi huu ni wa kitoto kama udaktari wake? Hivyo Magufuli aliwapata wapi watu aina ya mahera na kuwapa kazi kubwa hii?
Acheni kuona mapungufu kwa jicho moja; Tume haina wafanyakazi wake katika ngazi za chini; wanaotumika ni waajiriwa ambao wanawajibika zaidi kwa "immediate boss" hivyo ni rahisi kupokea maelekezo nje ya "Bosi wa NEC".

Hao wasimamizi wa uchaguzi waliotoka kwa mwajiri mwingine hata akivuruga NEC haina mamlaka nao, ila wakienda kinyume na mabosi wao kule walikotoka, ajira zao ziko mashakani na hapa ndipo tatizo lilipo.
 
Back
Top Bottom