mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
ICC sio pazuri mkuuKatika uchaguzi huu NEC inajitahidi ili chadema wakose visingizio baada ya kushindwa katika sanduku la kura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ICC sio pazuri mkuuKatika uchaguzi huu NEC inajitahidi ili chadema wakose visingizio baada ya kushindwa katika sanduku la kura.
Tusifike huko wazee tukomae na NEC wakizingua tunaingia barabarani kwa amani kabisa bila kuharibu cha mtuHahahah
Hawa jamaaa ni kuwavizia usiku na kupiga nyumba zao moto
Mdanganye mwenzako ajikute anaingia kwenye shida ambazo hatakaa azisahau mileleKituo cha Petroli hakiko mbali
🤣🤣🤣 Kwamba haikuwa haki yao kuapishwa Ila raia ndo wamesababisha hao mawakala kuapishwa?#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
Ha ha ha.....na ndiyo maana nilioa kule...shemeji zangu ni balaa....ikijichanganya tu hawajali we ni mkwe ama lah...#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
Acha kujiita mjinga wewe, so nec iko chini ya Bunge au mahakama au chini ya Vyombo vya habari(Muhimili usio rasmi)?Serikali inahusikaje wakati hayo ni mambo ya tume?
Hizi ndoto zinakoma tarehe 28/10/2020 baada ya hapo hakuna siasa tena tuendelee kujenga nchi yetuKitaeleweka tu mwaka huu, tunamchagua Lissu kuwa Rais wetu.
Iwapo tutaibiwa kura Mwizi ni Mwizi tu Mura Msimamizi akiwa Mwizi kiberiti na Tairi ShingoniMdanganye mwenzako ajikute anaingia kwenye shida ambazo hatakaa azisahau milele
Analifanyia kazi ni jambo la surprise?Tanzania ni nchi huru na vyombo vyake vyote viko huru
Asubuhi Dr Mahera aliposema analifanyia kazi alitukanwa sana. Tujifunze kuwa na ustaarabu na kuacha vyombo husika vifanye kazi zake
Inawezekana, wewe ulijua ingeshindikana?Analifanyia kazi ni jambo la surprise?
Hii ni tume huru ya uchaguziUchaguzi huu sio wa miaka yote wasifanye ujanja ujanja watalipasua taifa hili wekeni mizani sawa bila kumpendelea flani mtaheshimika sana na jamii ila mkileta za kuleta itakuwa historia kabisa
Asante Robert Amsterdam umewanyoosha Hawa wahuniTume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo
Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
Hii ni tume huru ya uchaguzi
Mtu mwenyewe wewe ukipigwa teke moja tu na FFU unaenda kuangukia Kisarawe ndiyo uingie barabarani. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.Iwapo tutaibiwa kura Mwizi ni Mwizi tu Mura Msimamizi akiwa Mwizi kiberiti na Tairi Shingoni
Tanzania ni nchi huru na vyombo vyake vyote viko huruWakurungenzi ndio wanao haribu pale wanapo waapisha chama a na chama b wanafunga ofisi angalia walivyo Fanya morogoro ila mahera katumia busara sana namsifu sana Leo kuongeza siku za kuapisha maana nilinusa halufu mbaya sana ingeenda kuligawa taifa hili.
Sasa wewe unataka tuibiwe kura halafu tuseme "Hewala si Utumwa''Mtu mwenyewe wewe ukipigwa teke moja tu na FFU unaenda kuangukia Kisarawe ndiyo uingie barabarani. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.
Hovyoooo......Katika uchaguzi huu NEC inajitahidi ili chadema wakose visingizio baada ya kushindwa katika sanduku la kura.
Acheni kuona mapungufu kwa jicho moja; Tume haina wafanyakazi wake katika ngazi za chini; wanaotumika ni waajiriwa ambao wanawajibika zaidi kwa "immediate boss" hivyo ni rahisi kupokea maelekezo nje ya "Bosi wa NEC".Huyu mahera ni mpumbavu asiyestahili kuitwa Dr. Hata juha anafahamu kuwa siku moja haitoshi kuwaapisha mawakala wote. Yeye daktari hakujua hilo? Isitoshe, Tume chini yake imeamua mawakala waapishwe wilayani siyo kwenye kata kama miaka iliyopita. Sasa Bwana daktari mpumbavu hakujua wingi wa mawakala na kwamba siku moja haitoshi? Alifikiri uchaguzi huu ni wa kitoto kama udaktari wake? Hivyo Magufuli aliwapata wapi watu aina ya mahera na kuwapa kazi kubwa hii?