NEC yatangaza ajira 300,000 katika Uchaguzi Mkuu wa 2020. Vijana changamkieni

Tatzo la nafas hz kujuana kwingi.. yan km sio kada wa mbogamboga basi hesab maumiv
 
Kibarua cha siku chache,

Day 1 semina na mikwara ya usalama posho 40,000

Day2 kupokea vifaa 40,000

Day 3 uchaguz 45,000

Day 4 kukabidhi vifaa(hapa wengi mtadhurumiwa.....) 40000

Jumla 165,000

Ukiharibu the Hague inakuhusu, ukichelewa kufungua kituo utaozea jera.
 
Mkuuu zitatoka lin????
 
Back
Top Bottom